Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Play and act smart....umenikumbusha enzi hizoo...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Mimi ni mtu mzima....nimeshatongoza wanawake wengi sana tangu kubalehe kwangu.....mwanamke akiwa hataki unaweza kuona na akiwa anatana unaweza kuona....kuna mwanamke akikuambia hataki huwa anamaanisha kuanzia mwili na roho pia....Yeah..Hiyo inatokea..Lakini kuna wengine msichana hakikubali haraka bila usumbufu anakuwa na wasiwasi..Anamuona kama ni mwepesi kutongozeka..Anahisi hata akiwa nae hatakuwa wake peke yake..Ndo mana hata wasichana nao wanakuwa wasumbufu sometimes kutokana na sababu hiyo..So ukipewa jibu hilo na kusepa anaona haukuwa serious
Hii siasa ni kali hata kuliko ile ya CCM kule Zanzibar!The Truth on whatever reason will make you to come on PM ....Thanks
Hahaha mpwa nakusalimia tuMimi ni mtu mzima....nimeshatongoza wanawake wengi sana tangu kubalehe kwangu.....mwanamke akiwa hataki unaweza kuona na akiwa anatana unaweza kuona....kuna mwanamke akikuambia hataki huwa anamaanisha kuanzia mwili na roho pia....
Salamu zako zimefika mpwa shaka ondoa kabisa.....Hahaha mpwa nakusalimia tu
Aaaah mpwa me na huu uzee sitaki kusumbuana. Kama sitaki namwambia tu mtu haiwezekani basi.Salamu zako zimefika mpwa shaka ondoa kabisa.....
Je mpwa na wewe unatumia mbinu gani kuwakataa vijana wenzio....??
Mpwa wakati unamwambia hivyo usiwe unatabasamu anaweza akajua sitaki nataka....Aaaah mpwa me na huu uzee sitaki kusumbuana. Kama sitaki namwambia tu mtu haiwezekani basi.
Hahaha mpwa me nikiwa kauzu mtu atanikimbia. Huwa nakuwa tu kawaida ila naonesha msisitizo fulani hivi.Mpwa wakati unamwambia hivyo usiwe unatabasamu anaweza akajua sitaki nataka....
Haya mpwa....mimi nakuaminia...najua misimamo hapo ndipo ilipozaliwa....Hahaha mpwa me nikiwa kauzu mtu atanikimbia. Huwa nakuwa tu kawaida ila naonesha msisitizo fulani hivi.
Hahaha Ahsante mpwaHaya mpwa....mimi nakuaminia...najua misimamo hapo ndipo ilipozaliwa....
Hahaha Ahsante mpwa
Mimi ni mtu mzima....nimeshatongoza wanawake wengi sana tangu kubalehe kwangu.....mwanamke akiwa hataki unaweza kuona na akiwa anatana unaweza kuona....kuna mwanamke akikuambia hataki huwa anamaanisha kuanzia mwili na roho pia....
Thumb up....U nailed it Chief.
Kwa sisi huko nyuma kwa namna moja au nyingine tulio learn the hard way ile hasira tukai channel into working hard.
Trust me. The best revenge is Success alaf ukishafanikiwa unakua na dharau mbaya kwa yule aliye ku dismiss in the past. Been there done that.
Na bila kuwa wa maana hupati demu mwenye pesa.(utapata hao ombaomba)Bila pesa hupati demu wa maana
Also, the tactic seems to have some sort of controversy. A decent and confident person won't resort to a dumb tactic like this, instead, she will spill the beans right in your face.To Me I call it, a childish game.. If you don't want someone just tell them the truth why wasting the time .. Huku ni kutojiaamini and not sure for what she is about to say.. Thanks..