Ahaaaa HaaaaTo Me I call it, a childish game.. If you don't want someone just tell them the truth why wasting the time .. Huku ni kutojiaamini and not sure for what she is about to say.. Thanks..
Play and act smart....umenikumbusha enzi hizoo...Nshawaambia watu mara kibao...dem ukimtongoza au kum chase around una haribu....ww andaa mazingira au jiweke in a certain way akuone you are the big prize to be won...watakuja tu, then chombeza kidogo akiingia kingi una tafuna.
Sasa jinsi ya kujiweka au kujinadi in a smart way ni usharp na ubunifu wako tu. Ila on my case i dnt use much energy acting that way cz i am living that way (ndio nko hvyo) nachombeza wakishoboka natafuna.
Ila angalieni sana na wanawake wa kugonga...wengine ma scraper usije kwaa miwaya (Play it Smart, Play it Safe).
.....duuuuuh! wenzako wanalilia wawe na population ya kutosha ili kudhibitisha uzuri walionao ww unakataa!Hiyo ni kweli mkuu me ndi zangu tokea mwaka uanze sihitaji population kabisa nakupiga kizinga cha maana najua kabisa huna uwezo Wa kutoa hiyo pesa at the first time unakimbia mashindano faster.unaenda kugugumia mbele
To accept truth? Which truth my dear?Hahaaahhaaaaaaaa.... Dear mzinga wa Bee or.. Hahaaaaah.. Dear Mzinga hutopigwa but be ready to accept the Truth .... Thanks...
Yeah..Hiyo inatokea..Lakini kuna wengine msichana hakikubali haraka bila usumbufu anakuwa na wasiwasi..Anamuona kama ni mwepesi kutongozeka..Anahisi hata akiwa nae hatakuwa wake peke yake..Ndo mana hata wasichana nao wanakuwa wasumbufu sometimes kutokana na sababu hiyo..So ukipewa jibu hilo na kusepa anaona haukuwa seriousUkiwa king'ang'anizi ndio utakapoanza kupika huku wenzako wakipakua
Yeah..Uko sahihi bazazi..Si ndio hapo....kama ukikataliwa Mara moja unapangusa kalio na kusepa... Naona utawapata wale warahisi tuu....kuna watu paka uwa force...ndio wanakuwa happy na na kujiridhisha kwamba they are loved and valued....
Denis dennyKama Unatoa mtandao pendwa ni PM kuna 200000 ya fasta mana mgodi umetema..kama una afrika bambataa dau linaweza panda
Retired bazazi.... Blaza.Yeah..Uko sahihi bazazi..
Teh teh...Sawa bro..Najua umepumzika tuRetired bazazi.... Blaza.
The Truth on whatever reason will make you to come on PM ....ThanksTo accept truth? Which truth my dear?
Ha ha.... Swalama lakini mkuu?Teh teh...Sawa bro..Najua umepumzika tu
Fresh mkuu..Mungu anasaidia..Aje ww?Ha ha.... Swalama lakini mkuu?
Fresh....Fresh mkuu..Mungu anasaidia..Aje ww?
Demu wa maana ana nini cha ziadaBila pesa hupati demu wa maana
Mi nimeshaacha broFresh....
Wakati ni wako sasa nawewe kustaafu...!
Dada msafi hutaki uongeze japo ka fremu ka Saloon..Just use what u got to get what u need..Remember that "we ran up them digits..We ran up some money.."au umeshiba pesa, usichelewe PM basi mana hela za mgodi huwa zinasubiri maelekezoDenis denny
Huo mtandao pendwa ndo unasababisha maafa yanaongezeka duniani.......fanyeni yoote, hala hala ni bora kuamini there is life afta death jaman.afu tunza uume ukutunze,utumie kwa njia sahihi na salama.