Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini


Kumbe nyumbu mpo wengi sana.....!!!!!!
 
Jipeni moyo tu...mke wa magufuli kishasema hawezi kuambatana na mtu asiye muaminifu kwenye ndoa yake...amchukue yuke akiyemhomga nyumba na kumjaza mimba pale mabibo hostel

Au akuchukue wewe uwe first lady.
 
Kumbe nyumbu mpo wengi sana.....!!!!!!

Ndio utashangaa mwaka huu nyumbu wanapiga kura ya raisi

Ninasema tutamchagua Lowasa,awe anaumwa,awe mzee,awe hajui kuongea,tutamchagua.
Haya sio mashindano ya nani anaweza kuongea kama chiriku na Tanzania inahitaji Rais zaidi kuliko mashine ya kutunzia kumbukumbu!!Ikulu kuna computer...

Iwe ataleta maendeleo au la,tutamchagua kuionyesha dunia kuwa,Tanzania ni ya watu wote!
Oyooooooooo!!
Woyo woyo woyoooo!

asanteee!
Peeeeooooopleeeees!!!!
 
Yaani huyu February tamaa ya uwaziri mkuu itamuumbua
 

wakimpandisha slaa na sisi tutamuomba gwajima atuambie japo kwa siri ile isue ya south africa na hao vijana na slaa alafu tutamuanika
 

Hata wabinuke watu tushaamua kutokugeuka nyuma atakae.geuka anakuwa jiwe la chumvi.
 
CCM inakufa vibaya mbona kweli hili la kuvunda halina ubani.R.I.P CCM mara hii hamtoki mtatoa kama wanigeria kupitia BVR.
 
Asante kwa kutujuza ila usichoke kutuletea mbinu zao mpya
 
Haaa haaa haaa,hata wafanye nn mwk huu wananchi hatudanganyiki
 
Sometimes we must take such risks to give the country back to the people!

Hao pipo unaowasema na kutuaminisha ndio hawa wanakinzana kila kukicha au unamaanisha hawa vijana wa boda boda na wengineo. sawa mnyetishaji wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…