Mbinu mbadala vitani ni hii...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
MJEDA.jpg
Hapa kama haupo makini na imara haja ndogo ya hewa ni nje nje...:laser:
 
Mtu mzima gani kitoto cha juzi tu wewe,tena ndo nyie Lau Maha anasema hamjui "historia" ndo maana mwaichukia ccm

NIMEJIKUTA NACHEKA KAMA NIKO BAR VILE! HA HA HA HA HA! Asikuambie mtu, mie najua historia kuanzia ya "Safari za Vasco da Gama"! Huyo Lau mtoto mdogo saaanaa ndio maana hajui kwa nini hatuipendi ccm!
 
Fikiria hawa jamaa nao wakilengwa na maadui risasi itafikia maeneo gani? Yataje sasa
 
Back
Top Bottom