Oho
JF-Expert Member
- Jul 21, 2026
- 477
- 1,256
angalie ambae waendana nae zamia PM huko huko mtayajengaMuongozoo Kidogo
angalie ambae waendana nae zamia PM huko huko mtayajengaMuongozoo Kidogo
Notedangalie ambae waendana nae zamia PM huko huko mtayajenga
Cc: Natafuta AjiraHata ufanye nini , mwanamke yoyote anavutiwa na mwanamme yoyote anaoenakana yupo dominant kwa watu au mazingira yanayomzunguka.
Ukiona amekufata wewe ambao upo submissive sana kwa kila kitu na watu ujue hana pakukaa au she is broken inside, sasa wewe unatumika kama daraja😁
Huyu alikuwa anachukua EGM au HGE advance.Nilikuwa namfundisha Geography na BAM kimchezo mchezo vikaumanaaa 😁😁
ndio ananipa maisha matamu hadi kuona nipo peponiHuyu alikuwa anachukua EGM au HGE advance.
Ukapita na shem darlingrafiki angu alikua anamchezea nikamuiba
Labda kama wamefuta miaka hii, BAM ilikuwa kwa mtu anayesoma ECA,HGE,na PCB miaka hiyo tunasoma advance na tulikuwa tunamaliza mwezi wa pili, sahivi nadhani ni mwezi wa tano.Hge hakuna bam. Huyo alikua comb yenye mathematics na geography. Kwahiyo kama sio egm basi pgm
HGE BAM ipo MkuuHge hakuna bam. Huyo alikua comb yenye mathematics na geography. Kwahiyo kama sio egm basi pgm
Kabla ya kubisha uwe unatafuta details za uhakika.Hge hakuna bam. Huyo alikua comb yenye mathematics na geography. Kwahiyo kama sio egm basi pgm
Na ukikuta mzuri mzuri kweli kweli. Alafu siku hizi kozi unakuta watoto wakali sana elimu ya siku hizi sio vitaMwanamke anasoma egm au pgm huyo lazima sura ya baba. Pisi kali hawataki stress huwa wanakimbilia hkl