Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

kama jf imewapaka matope! basi wananchi wataongezea masizi! kwa kifupi kama na we ni mmoja wapo, kawaambie TUMECHOKA, NA HATUWAOGOPI TENA! Mmoja tu alianzishe tutaingia kama nyuki! WE ARE TIRED!

Umechokea nini? Huyo kateswa na Wahuni serikali inahusika vipi hau na wewe ni mbayuwayu wa CDM? Narudia tena na tena usalama na serikali hawahusiki elimikeni
 
waombe radhi watanzania na sio kupanga mauaji ya watu!hivi wanadhani wataua wangapi?
 
Naona hili swala limefanywa kuwa la kisiasa zaidi. Serikali haiwezi kumteka na kumtesa Ulimboka adharani watu wakishuhudia mbaya zaidi mbele ya rafiki yake. Wanaodhani serikali inahusika watakuwa hawana ueleo wa idara za usalama zinavyofanya kazi. jamani serikali ikukutaka wala haikuteki mbele za watu na wala hawakutesi bali wanamaliza tu maramoja.

Huyu jamaa naona kaandika mawazo yake binafsi ili afurahishe genge tu kwa utashi wake wa kisiasa. Msione usalama wako kimya wanafuatilia wote wanaoipaka matope.

We umezaliwa lini tataizo la usalama wataiafa ni kujaza vilaza watoto wa viongozi na wafanyakazi wa taasisi hiyo.....msangi nayatajwa baba yake alikuwa polisi na yule aliyeua kwa amri ya zombe naye ni mtoto wa askari
; hii ni intelligence agency isiyo na intelligents agents............Kombe aliuliwaje mkuu....mbele za watu na mkewe na wahusika walukuwa polisi hata
 
Kuna siku Mungu atapatiliza uovu wote unaofanyika hata sirini. Mungu awanusuru hao wanaotaka kutolewa kafara ili kuuficha ukweli. Haki na kweli ya Mungu itawale katika taifa letu!
 
Umechokea nini? Huyo kateswa na Wahuni serikali inahusika vipi hau na wewe ni mbayuwayu wa CDM? Narudia tena na tena usalama na serikali hawahusiki elimikeni

who are you unaitetea serikali kama nani?usitishe watu bwana kama huna hoja usifunike kikombe mwanaharamu apite!
 
tumuombee sana dr Ulimboka hali yake imebadilika gafla mchana huu..figo zimeshindwa kufanya kazi(renal shutdown or insufficiency).
Utakuwa muujuza kutoka salama kwenye hali hiyo ,nimeogopa sana nakutetemeka sana Mungu atende tuu miujiza
 
So sad. Hivi hawa watu huwa wanamwabudu MUNGU kweli? Kwa Hali hii nimekosa hamu ya kuwa Kiongozi wa Serikali ngazi ya juu.
 
We umezaliwa lini tataizo la usalama wataiafa ni kujaza vilaza watoto wa viongozi na wafanyakazi wa taasisi hiyo.....msangi nayatajwa baba yake alikuwa polisi na yule aliyeua kwa amri ya zombe naye ni mtoto wa askari
; hii ni intelligence agency isiyo na intelligents agents............Kombe aliuliwaje mkuu....mbele za watu na mkewe na wahusika walukuwa polisi hata

Serikali haiwezi kuhusika wala usalama! Wanaohusika wanaweza kuwa wahuni na wahuni wanaweza kuwa polisi au ofisa wa usalama. Mi nawaamini sana usalama wa taifa wana mbinu nyingi lakini si hii ya Ulimboka. Jamani polis akiua haina maana katumwa na serikali mbona haieleweki? Polisi wanaweza kuendelea kuua raia hata kama CDM itaingia madarakani cha muhimu tumuombee Uli apone na atoe ushirikiano wahusika wakamatwe

Tusilifanye hili jambo liwe la kisiasa
 
wakuu tunaomba sana sana kama kuna mtu yeyote mwenye picha ya huyu jambazi aliyeletwa hapa south africa kukimbia msala wa Dr Ulimboka atuwekee picha yake hapa jamvini haraka sana!
kwa taarifa tu ni kwamba watanzania wanaoishi hapa wamechoshwa na utawala wa ccm,kama nyie mnaangalia mambo na kunyamaza hapa haipo hiyo,kazi inafanyika atafichwa mahali mpaka ukweli ujulikane,ni kwamba watu wa kufanya kazi hizo wapo kwa gharama ndogo kuliko mnavyotegemea
 
Damu ya Dr Ulimboka kugeuka gharika la Tsunami litakaloimeza na kutowesha kabisa hii serikali ya CCM inayoongozwa na Kikwete.

Bwana huyu akifa ... !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ulimboka anahitaji Ulinzi Mkali sio wa Polisi wala wa Wanausalama, kuna uwezekano mkubwa wa kumzima kabla hajatoa siri nzito aliyonayo moyoni...Sina hakika kama Muhimbili ni eneo salama kwa mtu kama huyu ambae amenusurika umauti uliopangwa na watu wasiojulikana..(..)
 
Tuwe wapembuzi yakinifu, Dr alipotekwa alikuwa na watu/mtu, hawa watu walichukua hatua gani?walifuatilia polisi kama walidhani amepelekwa polisi, kama ni polisi walitaka taarifa ina maana kwenye madaktari wote hakuna makachero?isijekuwa ni mchezo mchafu wa kuondoa kabisa heshima ya serikali dhaifu.
 
who are you unaitetea serikali kama nani?usitishe watu bwana kama huna hoja usifunike kikombe mwanaharamu apite!

Sitishi mtu ila naitetea serikali kwa sababu mnataka kulifanya hili swala liwe la kisiasa. kuanza kuishutumu serikali ni kuwapa mwanya wahusiaka wasitiwe ndani ila kama wewe unajua jinsi Serikali ilivyohusika ruksa katoe ushahidi wako maneno na hapa JF hayamsaidii Ulimboka kupata nafuu.
 
mkuu hata historia ya ANC ilikuwa upanga kwa upanga,ccm watatawala mpaka lini??inatosha tuwape wengine wajaribu wasilazimeishe mambo kiasi cha kuvuka mipaka ya haki za binadam
kwani wamekataa, tusubiri 2015 mkuu, au unataarifa tofauti?
 
So sad. Hivi hawa watu huwa wanamwabudu MUNGU kweli? Kwa Hali hii nimekosa hamu ya kuwa Kiongozi wa Serikali ngazi ya juu.

Nafikiri viongozi wa nchi huwa wanaingia mkataba na shetani. Nimesoma mahala Daudi wa uingereza akimwambia rafiki yake "am done with libya who's next to invade "
 
wakuu tunaomba sana sana kama kuna mtu yeyote mwenye picha ya huyu jambazi aliyeletwa hapa south africa kukimbia msala wa Dr Ulimboka atuwekee picha yake hapa jamvini haraka sana!
kwa taarifa tu ni kwamba watanzania wanaoishi hapa wamechoshwa na utawala wa ccm,kama nyie mnaangalia mambo na kunyamaza hapa haipo hiyo,kazi inafanyika atafichwa mahali mpaka ukweli ujulikane,ni kwamba watu wa kufanya kazi hizo wapo kwa gharama ndogo kuliko mnavyotegemea

Nakuunga mkono. Wote wale wanaoshukiwa na kumteka Dr. Ulimboka picha zao ziwekwe hadharani ili wananchi waweze kuwahoji, kama walivyomhoji Dr. Ulimboka, ni kwa nini walimteka na kumuumiza vibaya.
 
Back
Top Bottom