kama jf imewapaka matope! basi wananchi wataongezea masizi! kwa kifupi kama na we ni mmoja wapo, kawaambie TUMECHOKA, NA HATUWAOGOPI TENA! Mmoja tu alianzishe tutaingia kama nyuki! WE ARE TIRED!
Naona hili swala limefanywa kuwa la kisiasa zaidi. Serikali haiwezi kumteka na kumtesa Ulimboka adharani watu wakishuhudia mbaya zaidi mbele ya rafiki yake. Wanaodhani serikali inahusika watakuwa hawana ueleo wa idara za usalama zinavyofanya kazi. jamani serikali ikukutaka wala haikuteki mbele za watu na wala hawakutesi bali wanamaliza tu maramoja.
Huyu jamaa naona kaandika mawazo yake binafsi ili afurahishe genge tu kwa utashi wake wa kisiasa. Msione usalama wako kimya wanafuatilia wote wanaoipaka matope.
Umechokea nini? Huyo kateswa na Wahuni serikali inahusika vipi hau na wewe ni mbayuwayu wa CDM? Narudia tena na tena usalama na serikali hawahusiki elimikeni
Utakuwa muujuza kutoka salama kwenye hali hiyo ,nimeogopa sana nakutetemeka sana Mungu atende tuu miujizatumuombee sana dr Ulimboka hali yake imebadilika gafla mchana huu..figo zimeshindwa kufanya kazi(renal shutdown or insufficiency).
We umezaliwa lini tataizo la usalama wataiafa ni kujaza vilaza watoto wa viongozi na wafanyakazi wa taasisi hiyo.....msangi nayatajwa baba yake alikuwa polisi na yule aliyeua kwa amri ya zombe naye ni mtoto wa askari
; hii ni intelligence agency isiyo na intelligents agents............Kombe aliuliwaje mkuu....mbele za watu na mkewe na wahusika walukuwa polisi hata
mnh. imekuwa upanga kwa upanga sasa sio?
who are you unaitetea serikali kama nani?usitishe watu bwana kama huna hoja usifunike kikombe mwanaharamu apite!
kwani wamekataa, tusubiri 2015 mkuu, au unataarifa tofauti?mkuu hata historia ya ANC ilikuwa upanga kwa upanga,ccm watatawala mpaka lini??inatosha tuwape wengine wajaribu wasilazimeishe mambo kiasi cha kuvuka mipaka ya haki za binadam
So sad. Hivi hawa watu huwa wanamwabudu MUNGU kweli? Kwa Hali hii nimekosa hamu ya kuwa Kiongozi wa Serikali ngazi ya juu.
wakuu tunaomba sana sana kama kuna mtu yeyote mwenye picha ya huyu jambazi aliyeletwa hapa south africa kukimbia msala wa Dr Ulimboka atuwekee picha yake hapa jamvini haraka sana!
kwa taarifa tu ni kwamba watanzania wanaoishi hapa wamechoshwa na utawala wa ccm,kama nyie mnaangalia mambo na kunyamaza hapa haipo hiyo,kazi inafanyika atafichwa mahali mpaka ukweli ujulikane,ni kwamba watu wa kufanya kazi hizo wapo kwa gharama ndogo kuliko mnavyotegemea