Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,174
Hizi mbinu ni muarobaini wa wake/ma-GF korofi na utawashikisha adabu...............nimeifupisha kutoka kwenye hii makala ya
Don’ts for husbands



1) Usifue nguo zako hata siku moja hakikisha anakufulia kwa mikono yake na hakuna mwanya wa kumwachia mtoto wa kazi. Yeye mwenyewe aliapa atakuhudumia na wala siyo kukasimu madaraka tajwa............

2) Usipike hata siku moja hakikisha ni mikono yake ndiyo inabeba haya majukumu na hakuna fursa ya kukasimu haya majukumu nyeti kabisa..............

3) Maji ya kuoga nalo ni jukumu lake kuyainjika na kukupelekea bafuni kwa mikono yake aache soooooooooooooooo.

4) Asiendeshe gari na wewe ukiwepo.

5)Akuchagulie nguo za kuvaa.

6) Lipa bili zote asilipe bili hata moja.......vijisenti vyake atajua nini ya kuvifanyia ili asije kudhani mpo sawa...

7) Hakikisha una ajira na kamwe usimtegemee kwa lolote lile

8) Usifilisike hata siku moja vinginevyo atakutawala tena kwa masimango kibao.........

9) Usimpige au kumnyanyasa au kumdhalilisha mkeo mbele ya kadamnasi ya watu............mpende kama kiapo chako kilivyokuwa.........

10) Usiwe mtu wa matumizi mabaya ya fedha hasa pati na marafiki na hivyo kumpa picha ya kuwa wewe ni mfujaji

Haya ni masharti ya kukwepa mwanandni wako kufikiri naye ni kidume ndani ya mahusiano yenu..........ukishindwa haya au kama ukijipima ukaona hupati maksi 80 au maswali nane kati ya kumi basi wewe unatawaliwa na mwanamke na mahusiano yenu yapo hatarini kuvunjika au wewe kuwa huna furaha maisha yako yote na utakufa kwa shinikizo la damu na ugonjwa wa moyo...................

amka jikomboe kutoka kwenye utumwa wa mwanamke..............
 
Hio namba 2 ina madhaifu. namba 4 ya ukweli sana.

wee erotica na wewe ni real man?....................mwanaumme anayekupikia huyo siyo real man..........[MENTION]@erotica[/MENTION]
 
Ruta,thanks,bishanga nimefaulu 100%.

Bishanga you are a real man...........to score 100% needs real manhood na ndoa yako itadumu milele. [MENTION]@Bishanga[/MENTION]
 
wee erotica na wewe ni real man?....................mwanaumme anayekupikia huyo siyo real man......... Erotica


anae toa definition ya real man ni nani? kuna ubaya gani mwanaume akipika once in a while kama anaweza?
 
Last edited by a moderator:
For every general rule, lies an exception!!

kipipi usichojua ni kuwa exception is divorce....and unhappiness........tough choices......[MENTION]@kipipi[/MENTION]
 
anae toa definition ya real man ni nani? kuna ubaya gani mwanaume akipika once in a while kama anaweza?

definiton ni ya Mungu siyo mimi..................tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye atakutawala.............akianza kutokosa maharagwe huyo tayari umemtawala hana sifa ya to be a real man.....................
 
hayo ni mawazo ya kale! Unataka uishi na mke utadhani kijakazi?

kijakazi na bili zote nalipa, nina kazi na sijawahi kufilisika na ninakupenda mno....................lol kweli huna shukrani
 
Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.

WORTHLESS!!!
 
Back
Top Bottom