Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

hii kali ......nilijisahau nikijua mapenzi ya kweli yapo kumbe ni sawa nakutafuta ngararimu supermarket.

chauro unafikiri mapnezi ya kweli ni kututawala........................hayo ndiyo feki na matokeo yake wanaumme wengi wapo hospitalini wanaumwa magonjwa ya moyo, kiaduro, kisukari, shingo ya uume n.k....kwa ajili ya mateso mnayowapa in the name of deceptive love.....................wanaumme tujikombee tusijew tukafa kabla ya siku zetu.........
 
Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.

hakuna kukomoana ila kila mmoja abebe majukumu yake ya asili.......na mtaishi bila kukwaruzana....................na kwa furaha lukuki........
 
Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit.

WORTHLESS!!!
Humpikii baba ashrat,humfulii?
 
Aisee kufua nguo hapo mbona ishu,siku hizi atakuambia kucha zake zitavujika

mnunulie washer and dryer lakini azipeleke huko kwa mikono yake hakuna kukasimu kwa wengineo..............anatakiwa aijue chupi yako vizuri na wala siyo mtoto wa kazi au ndugu zake.......
 
Nampikia ananipikia, namfulia ananifulia, ananipa moyo nampa moyo, ananipenda nampenda, ananipa raha nampa raha n.k
Hatuishi kama washindani sie!!

huna mume ila una mwanamke mwenzio hapo kwako.....................he is not a real man..................a real man anapaswa alipe bili zote lakini asiguse kazi za ndani hata moja..........uhusiano huo utadumu
 
du basi inawezekana mie wa kale sana siamini kwenye mapenzi ya kumtawala mwingine siamini kwenye kufanya mambo hata usiyoyaweza kwa kujiumiza ili tu umuonyeshe mwenzio/mpenzi/mkeo unaweza mapenzi ya kweli ni kusaidiana kuchukuliana ujeuri na majivuni pembeni unaposema uhakikishe hufilisiki umelipa bill zote nk ili asikunyanyase sijaelewa naammini mapenzi kama hayo yametengenezwa kwenye misingi ya uongo mwisho wa siku ni dhoruba kali........laiti vitu vingekuwa vinabaki constant vile tunavotaka maisha yangekuwa rahisi sana leo unacho kesho hauna kama una mwenza wa sampuli hiyo dah lazima ukope mpaka ufungwe ukilipa bill wakati yeye ana kazi.

chauro unafikiri mapnezi ya kweli ni kututawala........................hayo ndiyo feki na matokeo yake wanaumme wengi wapo hospitalini wanaumwa magonjwa ya moyo, kiaduro, kisukari, shingo ya uume n.k....kwa ajili ya mateso mnayowapa in the name of deceptive love.....................wanaumme tujikombee tusijew tukafa kabla ya siku zetu.........
 
Sijaona kitakacholeta furaha hapo. Ila wapo wanawake wanaoridhika na wanaume wenye mawazo kama hayo so good luck to y'all.

turudishe ndoa kwenye asili yake kama tunataka zidumu...........
 
du basi inawezekana mie wa kale sana siamini kwenye mapenzi ya kumtawala mwingine siamini kwenye kufanya mambo hata usiyoyaweza kwa kujiumiza ili tu umuonyeshe mwenzio/mpenzi/mkeo unaweza mapenzi ya kweli ni kusaidiana kuchukuliana ujeuri na majivuni pembeni unaposema uhakikishe hufilisiki umelipa bill zote nk ili asikunyanyase sijaelewa naammini mapenzi kama hayo yametengenezwa kwenye misingi ya uongo mwisho wa siku ni dhoruba kali........laiti vitu vingekuwa vinabaki constant vile tunavotaka maisha yangekuwa rahisi sana leo unacho kesho hauna kama una mwenza wa sampuli hiyo dah lazima ukope mpaka ufungwe ukilipa bill wakati yeye ana kazi.

A real man hana cha musimu ana mbinu ya kuhakikisha hata kama hana ajira ni kwa miezi 2 tu................na hata kwenye hiyo miezi 2 ana vijisenti kahifadhi benki na kwenye miradi kadha wa kadha ili asihadhirike.....................kama hana sifa hizo he is not a real man..............na udhaifu wake ndiyo watoa mwanya kwa mkewe kumtawala kwa madai ya kuwa mbona majukumu yako ya asili nami nayaweza?
 
Mnahangaika na makubwaa, watu tunachanganywa na videreva vya kazini.

Hamna lolote kama nait fudi iz poisonous.

Be eyes, don't say I did'nt warn you.

kama mkeo kakushinda hakuna jingine utakaloweza...............mdhibiti kabla hajakudhibiti..................a battle of the sexes, if you fail you are doomed forever..sijui hata Mwenyezi Mungu utamwambia nini?
 
huna mume ila una mwanamke mwenzio hapo kwako.....................he is not a real man..................a real man anapaswa alipe bili zote lakini asiguse kazi za ndani hata moja..........uhusiano huo utadumu
Acha dharau wewe!!
Wewe ndio sio mwanaume kamili maana you have to work extra hard to prove that you are, my man doesn't need all that!!
 
laiti kama maisha yangekuwa kujaza pesa vyakula kulipa bili na vote ndani basi kesi nyingi zingepungua mjini na heshima ya kweli ingekuwepo mbona huko huko kuna matatizo yasiyopimika anaweza kuonyesha heshima na mapenzi fake akijua kuna analofaidi labda kwa ajili ya wanae familia yake nk.................

turudishe ndoa kwenye asili yake kama tunataka zidumu...........
 
sasa wale wanaume wenye vibarua hata mlo wa siku unawapiga chenga sio wanaume kamili au sijakuelewa life is not all about money rafiki..................i love i love and i will never stop loving eti sababu ya pesa izo zinaweza kuwa mfukoni mwako lakini naangalia nachokipata zaidi kutoka kwenye moyo wako na return zinaweza kuwa usizotegemea kwangu ni heri ugali wa chumvi na nyumba yenye amani kuliko utawala wa mabavu na kuwa mtumwa ndani ya nyumba yako mwenyewe mengine yote tunapata ni baraka kutoka kwa Maulana.

Back
Top Bottom