Mbingu zinatazama

Mbingu zinatazama

Naweza kwa kumwangalia machoni.... Kuna usemi unasema the guilty are afraid... Mtu mwovu hana courage ya kuangaliana nawe
Hii natumia sana na inanisaidia kwa sehemu kubwa, mi mara nyingi ninapozunguza na mtu kwa kuonana huwa napenda sana kuingalia mboni za macho yake, hapa sasa ni wa chache wanaoweza kuiangalia zaidi ya dk 2 direct, wengine mpaka atafute pozi ili arudi kuniangalia tena, wapo wengine ndio hawaniangalii kabisa mpaka maongezi yanaisha. Je hapa ni yupi turn as an evil?
 
Kuna watu kiasili wana aibu hawa hawawezi kukutazama usoni hata maramoja.. Lakini kuna wale ambao nafsi zinawasuta macho yao hayana confidence na watajaribu sana kukuangalia usoni lakini wapi wanashindwa
 
Rip [emoji1019] kamanda
4a95648170ad836ff25841c630750f34.jpg
Hili tukio moja wapo pia, ambalo limeniumiza roho, nafsi, akili mpaka mwili, mbali na lile Kamanda Mawazo. Naomba niishie hapo.

Mungu aipumzinshe Roho ya marehemu sehemu yenye utulivu na Amani. Aifanye wepesi wa faraja na kuipa nguvu ya kustahimili hili familia nzima ya marehemu.
 
Hatred to this extent! Who is next? They have the list
 
Yana Mwisho mkuu. No matter how long that list gonna be, and though may leave the grief and untolerable pain to us, but shall end.
 
kuna wakati nguvu za uumbaji huleta ujumbe kwa njia mbaya na ikerayo ila naamini ukweli ukizuiwa sana huleta ukombozi kwa njia mbaya na za ajabu.
 
Back
Top Bottom