Mbingu zinatazama

Mbingu zinatazama

Amini Amini nakuambia..hatuwezi kuisha lakini hao waakufa katika mazingira hayo wanaacha mazingira magumu sana katika familia zetu.Saana,hakuna anayeweza kubeba maumivu ya vifo vya hawa wanaondoka kwa sasa zaidi ya familia zao zikizidi kusononeka na kusema kwa Mungu wa kweli kuwa kwann unaya ruhusu haya baba yatokee kwetu,huku tukifanyiwa mzaha kwa kutangazwa tangazwa......
 
Hapa naanza kuelewa kwanini kule watu wanajitoa mhanga kwa mabomu.Ukija kichwa kichwa huwezi elewa,ila itokee mmoja wa wanafamilia yako auwawe kama yule jamaa wa jana.Au apotee ndio utaelwa maana yangu.Inauma zaidi ya kuuma....ila tunajiita wavumilivu na Mungu wa kweli atupiganie kwa Haki juu ya hao.
fear-only-two-god-and-the-man-who-has-no-fear-of-god-quote-1.jpg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Amini Amini nakuambia..hatuwezi kuisha lakini hao waakufa katika mazingira hayo wanaacha mazingira magumu sana katika familia zetu.Saana,hakuna anayeweza kubeba maumivu ya vifo vya hawa wanaondoka kwa sasa zaidi ya familia zao zikizidi kusononeka na kusema kwa Mungu wa kweli kuwa kwann unaya ruhusu haya baba yatokee kwetu,huku tukifanyiwa mzaha kwa kutangazwa tangazwa......
.
d9e5c867eb09446829b888054e25b2af.jpg
 
Nimeiona hiyo Mshana...KARMA.Wakati huu watu flani watadhani kuwa wao ndio wanapaswa kutumiliki.Lakini muda wao ukifika kamwe hakutokuwa na Huruma juu yao.Nasi tutawakumbusha je mmesahau kile kipindi mlivyokuwa mwatutendea??Kila kikombe huja kwa wakati wake.Tutakunywa hiki nao watakunywa kile.
 
Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!

Rest in peace my little sister!
 
Thinking of the day when you went away.....
 
Back
Top Bottom