Mbinga nitembee wapi jamani?

Mbinga nitembee wapi jamani?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jamii ya hapa. Sijazoea kuwa isolated
 
Hata mimi natafuta maeneo ya burudani hapa Njombe. Wana Njombe mpoo?
 
Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jamii ya hapa. Sijazoea kuwa isolated

Jimboni,kigonsera,nkako,litembo,but yabidi uwe na private transport!
 
poa mkuu nenda mbinga community bank ulizia mtu mmoja anaitwa sumila atakuzungusha town au uliza godifrey shedehwa hapohapo bank utakul,bata mkuu
 
Nipo Mbinga mjini naomba mniambie ni maeneo gani ya kutembelea nyakati za jioni ili niweze kujichanganya na jami
i ya hapa. Sijazoea kuwa isolated

dah pole sana mkuu hivi huo udongo mwekundu ushabadiruka rangi? hebu sogea mitaa ya sun city hapo down au paradiso hapo. jimbon kule kidogo unakuwa umeimaliza mbinga
 
Nenda kule wanakogombea mipaka ya ziwa uliza mzee ndembeka utakaa kwa mustarehe hadi uondoke. ukimpata mpe salamu zangu.
 
Back
Top Bottom