Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,462 Reaction score 872,131 Nov 19, 2014 #1 View attachment 203684
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,383 Reaction score 111,717 Nov 19, 2014 #2 chachandu ya mbilimbi ukiimwagia kwenye kibandameno uliookwa au kaangwa vizuri...ni mtamu hatari!!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,462 Reaction score 872,131 Nov 19, 2014 Thread starter #3 watu8 said: chachandu ya mbilimbi ukiimwagia kwenye kibandameno uliookwa au kaangwa vizuri...ni mtamu hatari!!! Click to expand... Inaliwa na vitu vingi sana na inanoga vilivyo, shida ipo tu kwa wale wenye tatizo la ulcers
watu8 said: chachandu ya mbilimbi ukiimwagia kwenye kibandameno uliookwa au kaangwa vizuri...ni mtamu hatari!!! Click to expand... Inaliwa na vitu vingi sana na inanoga vilivyo, shida ipo tu kwa wale wenye tatizo la ulcers
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Nov 19, 2014 #4 umenitamanisha ujue
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Nov 19, 2014 #5 mshana jr said: Inaliwa na vitu vingi sana na inanoga vilivyo, shida ipo tu kwa wale wenye tatizo la ulcers Click to expand... Hapo umenena, maana sifa zote mnazoimwagia kwangu ni sawa na misamiati ya Kichina...
mshana jr said: Inaliwa na vitu vingi sana na inanoga vilivyo, shida ipo tu kwa wale wenye tatizo la ulcers Click to expand... Hapo umenena, maana sifa zote mnazoimwagia kwangu ni sawa na misamiati ya Kichina...
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 19, 2014 #6 mshana jr said: View attachment 203682View attachment 203683View attachment 203684 Click to expand... Mkuu hasa ni ya mango pickle ndo bomba sana maana hata na mandazi unakwenda nayo bila shida
mshana jr said: View attachment 203682View attachment 203683View attachment 203684 Click to expand... Mkuu hasa ni ya mango pickle ndo bomba sana maana hata na mandazi unakwenda nayo bila shida
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 19, 2014 #7 Siki hiyo, mate yameshanijaa hapa tayari nimeitamani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,462 Reaction score 872,131 Nov 19, 2014 Thread starter #8 HARUFU said: Siki hiyo, mate yameshanijaa hapa tayari nimeitamani Click to expand... HARUFU kuna mtu umeshamwambukiza kale kaugonjwa ka kuvimba tumbo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HARUFU said: Siki hiyo, mate yameshanijaa hapa tayari nimeitamani Click to expand... HARUFU kuna mtu umeshamwambukiza kale kaugonjwa ka kuvimba tumbo
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 19, 2014 #9 mshana jr said: HARUFU kuna mtu umeshamwambukiza kale kaugonjwa ka kuvimba tumbo Click to expand... Kiongozi bana, aiseee
mshana jr said: HARUFU kuna mtu umeshamwambukiza kale kaugonjwa ka kuvimba tumbo Click to expand... Kiongozi bana, aiseee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,462 Reaction score 872,131 Nov 19, 2014 Thread starter #10 HARUFU said: Kiongozi bana, aiseee Click to expand... Ni baraka kaka na hongera sana kakiwa kadume kaite Mimi, kama ni shosti mwite yule nanihii
HARUFU said: Kiongozi bana, aiseee Click to expand... Ni baraka kaka na hongera sana kakiwa kadume kaite Mimi, kama ni shosti mwite yule nanihii
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,154 Jan 6, 2015 #11 watu8 said: chachandu ya mbilimbi ukiimwagia kwenye kibandameno uliookwa au kaangwa vizuri...ni mtamu hatari!!! Click to expand... Nachokaga kichachu kinapopewa sifa ya utamu.
watu8 said: chachandu ya mbilimbi ukiimwagia kwenye kibandameno uliookwa au kaangwa vizuri...ni mtamu hatari!!! Click to expand... Nachokaga kichachu kinapopewa sifa ya utamu.
Sky Eclat Platinum Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,440 Jan 6, 2015 #12 Wou ule na rost ya maini na ugali, hayo ni mambo ya pwani bwana.
Mandown JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 1,665 Reaction score 507 Jan 6, 2015 #13 Hivi kwa kidhungu hizi ndude zinaitwaje ?