Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 514
- 697
• Direction:
• Condition
• Features:
• Facilities:
• Plot Area:
• Document:
• Ideal:
• Bid Start Price:
• Agent Fee:
#InRealEstateWeConnect
☎💬:
Kibanda cha Mkaa. Mita 150 kutoka Morogoro Road
• Condition
iko ktk hali nzuri; inauzwa bila samani za ndani; ina wapangaji
• Features:
-ina apartments 5 za chumba na sebule; vyoo na bafu nje
-Kila apartment kwa mwezi inapangishwa Sh 150,000.
Hivyo kwa mwaka 150k x 5 x 12 = 9 milioni
Maanake miaka 6 na miezi 2 kianzio chako (principle) kitakuwa kimerejea kama hakutakuwa na matengenezo (renovation/maintainance)
• Facilities:
umeme, maji matamu ya bomba, tenki la maji, parking
• Plot Area:
sqm 700
• Document:
mkataba wa mauziano
• Ideal:
inafaa kwa makazi binafsi au biashara ya kupangisha
• Bid Start Price:
TZS milioni 50 (imekaza)
• Agent Fee:
.TZS milioni 5
#InRealEstateWeConnect
☎💬:
Mitandaoni:+255 767 157788
@kasrihomestz