Preta nimesikitika kwa kweli jimbo la uchaguzi wapi?kama arusha nikufate we niambie wapi tu
nipm namba yako my dia
We sema unahisi atakuzidi kete tu....Mwache mgeni apate raha za b52 bhana lol we si upo tu shida yako nini? Kwani utamu unaisha?Karibu Arusha amu tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu, ila kuna matapeli wawili hawa hata wakikuimbia nyimbo nyororo vipi usikubali Erickb52 na Filipo hawa huku tumuwawekea vilebo "keep away from children" hawafai kwanza Filipo anamke wake marejesho huyu mwingine anaranda randa tu kama kuku aliekatwa kichwa. You are welcome.
Leo pametulia sana gambachovu kulikuwa na kamvua kadogo ka kutoa vumbi so kwa sasa pametulia mbayaaaaa yan safi sana Gee CeeMliopo Arusha.. Hali ya hewa ikoje. Mi nikijaga nafuata baridi..
Leo pametulia sana gambachovu kulikuwa na kamvua kadogo ka kutoa vumbi so kwa sasa pametulia mbayaaaaa yan safi sana Gee Cee
We sema unahisi atakuzidi kete tu....Mwache mgeni apate raha za b52 bhana lol we si upo tu shida yako nini? Kwani utamu unaisha?
mtoto wa migomigo anapelekwaga gest?
Ukiona nimepelekwa jua nimetaka madame
shostito lara 1....karibu sana Chugga.....nitakupeleka chimbo moja linaitwa.....Schwein......nadhani utalifurahia......au chagua unataka kula turkey wapi....si unajua x-mas ndio kinachungulia......
nashukuru sasa kesho tutaonana au??
Kesho kuna askari namfata kwake ananiambia aanakaa police line baada ya hapo natamani kuonana na nyie japo kiduchu tu
kama hamtojali
nashukuru sasa kesho tutaonana au??
Kesho kuna askari namfata kwake ananiambia aanakaa police line baada ya hapo natamani kuonana na nyie japo kiduchu tu
kama hamtojali
UNASHANGAA NINI, kuna askari ambaye ni Baba mkwe wako!?aaaaahhh......
Leo pametulia sana gambachovu kulikuwa na kamvua kadogo ka kutoa vumbi so kwa sasa pametulia mbayaaaaa yan safi sana Gee Cee
Mliopo Arusha.. Hali ya hewa ikoje. Mi nikijaga nafuata baridi..
UNASHANGAA NINI, kuna askari ambaye ni Baba mkwe wako!?