Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Kijana we unaijua Arusha ya zamani eeeeh
Heheheheee uliza Mr Rocky akuambie kuhusu Twiter au Preta akupe mambo ya Sky Lounge! Mungi atakuambia Bougalou heheheheeeee PakaJimmy yeye anapenda kuleeeee kwenye za zamani Lily Flower Filipo Blaki Womani Arushaone na marejesho na Mzee wa Rula huwa wanafuata upepo tu kama bendela lol bora hata mimi huwa nasuggest Tripple A
za zamani mpango mzima naona unafanya booking taratibu
umepotea sana ujue....bata wamebaki 3 kati ya 20 uliowaacha......
nimependa hiyo tena huyo Filipo muwekee kufuli 2 kabisa
mambo mengi dear najaribu kwenda na muda mwisho wa mwaka huu ....khaa hata hamjamsubiri mama mwenye nyumba
huyo ni PakaJimmy na LiverpoolFC....wakamkaribisha babu Dark City.....niliwaambia waache hawakusikia........
Sero nilijipeleka mwenyewe nitatoka saa tatu so tutafutane Blaki Womani
Ok sawa...
Safari njema
Sero nilijipeleka mwenyewe nitatoka saa tatu so tutafutane Blaki Womani
Nimetoka sentro mda huu wanasema leo hawapokei watuhumiwa mpaka baada ya mwaka mpya. sweetlady yupo kwa nitonye hivyo hawezi kufanya mapokezi. nimemtuma Lily Flower atarudi wiki ijayo, so mi ndo dereva pekee mwenye leseni hapa mjini, na kazi ya mapokezi nafanya mie mwenyewe
Hebu mwulize kama kweli kajipeleka akuambie IGP wa sero anaitwa nani
Filipo nimeona hilo tangazo la ngwasuma ukumbi sijui unaitwa adventure