Mbezi Mwisho palivyonitoa ushamba

Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona vibao vipi pale 100Meter kabla hujaingia kwenye barabara zinazoachana vikielekeza uelekeo? Wewe sema hukuzingatia vibao, ukatumia uzoefu kumbe njia za kuchepuka ukawa umeshazipita
Kuendesha kwa uzoefu mkuu,na presha kukosea vikazidi kunichanganyw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ugeni tu lakini madaraja yaliyowekwa yanatosha kabisa na infact hakuna jam kabisa.

Na uwepo wa madaraja mawili imesaidia maana ukikuta sehemu ya kwanza imejaa unaenda sihemu ya pili na hii ilipaswa kuwepo kwenye design ya ujenzi tangu mwanzo.

Kwa upande wa pale kibaha na mlandizi na miji mingine wapange kuwa na miundombinu hiyo wanapoendelea na ujenzi wa njia hiyo
 
Kilichonitesa ni kuendesha kwa mazoea bila kuchungulia vibao,japo navyo sio vikubwa sana,pia ugeni na barabara hasa kutokujua huko mbele pakoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaaaaaaa, daaaah, umenichekesha sana aisee,

Anyway ndo njia yangu everyday, na nimebahatika kushuhudia mabadiliko yooooote yanavyotokea, ila kuna siku nilijisemea Hizi njia kama mtu hajapita loooong time lazima aipate fresh !

Pole aisee
Daraja la kwanza kama unatokea goba ukifika kwenye round about wengi ujichanganya wanakata kulia,kulia atatokea stendi ya daladala kule ukiingia kutoka ni jero au atokee njia kutokea malamba mawili ambayo inaenda tu airudi,wazee wa fursa uwa wanajificha chini ya daraja pale na vest zao 🦺 πŸ˜ƒ,ukijichanganya wanasema na wewe
 
Ha ha ha pole sana
 
mainjinia wa tanzania bado hawajui plan wala kujenga
 
Ha ha ha pole sana

Dodooo...😁😁😁

Kimb...o Bonny....πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Asante, heri ya 2023.
 
Itabidi nijaribu tena siku nyingine, maana Hadi sasa nilibadilisha njia, nikienda Tabata napita Mwenge via Ubungo.
Rahisi sana, ukitoka Goba kuelekea Tabata nenda hadi upite stand ya Magufuli, baada ya stand kuna round about, kata kushoto uvuke daraja, then utakuta roundabout nyingine, izunguke na endelea mbele hadi roundabout nyingine(ile ya kwa Yusufu) ndio njia ya morogoro ya zamani. Then rudi kama unaenda mbezi stand ya malamba, utakutana na njia ya kuelekea huko unakoenda.
 
Unajua ni nini tunapata changamoto kwakuwa hatujazoea kusoma alama za barabarani ila ukiwa makini tu kitizama alama wala huwezi kusumbuka hata ukiendq New York
Watu wa mikoani bana, hiyo barabara haina alama, bado hawajaweka.
 
Aisee ahsante...kumbe ina Ka process!!
 
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Ipo, ukitoka Kibaha ingia kama unakwenda stand kuu, kisha kazunguke round about ya pili uvuke highway, utaona kibao kinaelekeza iliko Kinyerezi yako fuata uelekeo utafika, nilichojifunza ...wengi wavivu kusoma vibao njiani
 
Maelezo marefu tu ila sio parefu wala, kwani hujawahi fika Magu stand?
Nimefika mara mbili tatu, Ila hizo stand za Yusufu ndio sizijui, maelezo lakini yamejitosheleza. Nitajaribu siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…