Tukifika huku mtu anaweza akamaliza 24hrs anapiga round trip tu hapohapšPale mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo , kosa kubwa la serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hzo interchange .... Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....
Sasa sjui tukifika huku itakuwaje š
View attachment 2504112
View attachment 2504113
Sasa mkuu hapo hamna clear information na ndio tatizo lilipoPale mbezi wapo sahihi Kwa sababu diversion inatengenezwa kulingana na mahali barabara zinazochepuka zilipo , kosa kubwa la serikali na mamlaka husika ni kutoweka clear information pande zote za barabara unapoaproach hzo interchange .... Na Kwa jinsi palivyo complex Kwa mgeni zilitakiwa hata ziwepo kwenye mabango makubwa na kwenye Google map kuonyesha ramani nzima .....
Sasa sjui tukifika huku itakuwaje
View attachment 2504112
View attachment 2504113
Hadi mafuta yaisheTukifika huku mtu anaweza akamaliza 24hrs anapiga round trip tu hapohap
Kabisa maana unaweza zunguka hadi mafuta yaisheNikiwa na safari ya mbezi lazima nitumie dereva.
Sitaki sitiresi mie.
Mbona pako easy sana mana kuna vibao vimeandikwa uelekeo labda ka una drive huangalii vibao.....Nikiwa na safari ya mbezi lazima nitumie dereva.
Sitaki sitiresi mie.
Trafiki hawajakugeuza fursa? Maana hawajui kuelekeza wale zaidi ya kupiga hela.Sasa mkuu hapo lazima mtu uwe mwenyeji,kama ni mara ya kwanza lazima uteseke kama mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni ugeni lakini hapasumbui kabisa wameondoa usumbufu kabisaHope mko salama
Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.
Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.
Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.
Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupotea sio ushamba. Yeyote popote anaweza poteaHope mko salama
Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.
Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.
Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.
Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaeni wenyewe na mji wenu,,,sisi wakuja tunapotea kila siku.Kama unatokea kibamba ukifika kwa yusuph ingia kushoto kuna kibao wameweka kisha mbele kidogo kuna roundabout ingia kulia kama unaenda stedi ya Magufuli mbele kidogo utakuta roundabout nyingine ingia kulia endelea tena utakuta roundabout nyingine ingia kulia mbele tena kuna roundabout ingia kushoto nyosha moja kwa moja utatokea kwenye junction ya kwenda maramba mawili.
Hapajakaa vizuri kama umetoka Kibaha kwenda Tabata. Mimi baada ya kuona shida sana nikitoka Kibaha kwenda Tabata huwa napitiliza mpaka kwa Msuguri kwenye mataa pale napinda kulia kuna barabara mpya ya lami inatokea malamba mawili.Hope mko salama
Nina muda mrefu sana sijapita Mbezi Mwisho nikiwa nadrive mwenyewe.
Sasa leo nmetoka kibaha uelekeo ukiwa ni tabata na lengo nipite hii njia ya Maramba Kinyerezi kisha Tabata. Nilipofika Mbezi Mwisho pale ile sijui niite ni round about au ni kitu gani.
Nimehangaika sana yani,mwisho wa siku nikafanikiwa baada ya mahangaiko mengi.
Ugeni na ushamba wa barabara hii umechangia lakini pia hapo kuna jambo itabidi lifanyike maana kinachotumika kwa madereva hapa ni uzoefu tu.
Serikali inaweza ona namna ya kuweka interchange hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama Serikali inasema, uchaguzi mkuu utakuwepo ila hakutakuwa na kupiga kura.Halafu hiyo barabara ya njia sita Kimara - Kibaha mbona kila mahali spidi mwisho ni 50!!! Au wakikamilisha ujenzi wataziondoa? Na askari wako na tochi pale wanapiga faili kweli kweli. Unatengeneza barabara nzuri watu wawahi halafu unawazuia wasikimbie!!
Uzoefu kivipi na ikiwa kuna vibao vya maelekezo vinavyoonyesha muelekeo wa njia zote!
Matumizi ya njia moja moja na zisizo na u-turns na round abouts na ulemavu wa kutokufahamu alama za barabarani ndio changamoto inayotesa wengi. Mimi nimegika Dar pakiwa tayari hapo Mbezi pameshafanywa mambo na nilikuwa na miaka minne sijafika Dar lakini mbona nili navigate vizuri tu bila shida.Uzoefu kivipi na ikiwa kuna vibao vya maelekezo vinavyoonyesha muelekeo wa njia zote!
Mkuu mbona vibao vipi pale 100Meter kabla hujaingia kwenye barabara zinazoachana vikielekeza uelekeo? Wewe sema hukuzingatia vibao, ukatumia uzoefu kumbe njia za kuchepuka ukawa umeshazipitaš¤£Hope mko salama