Mbezi Kimara Interchange: Tanroads Mmetisha?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Kwa Interchange kama hii, Dar lazima ipendeze.. Hongera sana Tanroad.
FB_IMG_1541098532598.jpeg
 
Wanajenga ndio lakini hii naona ni too much kuliko wanachokijenga
 
Zamani walikuwa wanapotea waenda kwa miguu, ila soon wataanza kupotea waenda kwa mandinga
 
Afadhali pesa za marudio ya uchaguzi kwa mbunge aliejiuzulu kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi zingeelekezwa kwenye ujenzi wa maflyover au mainterchange kama hayo ingekua poa but kwa vile waafrika tunaona mbali sana ndomana hela znateketea kwa vitu vya kipuuzi na chakushangaza zaidi watu kama akina cheyo hawajiuzulu kuunga mkono juhudi.
 
Back
Top Bottom