Mbezi Club - What happened? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbezi Club - What happened?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tsidekenu, Mar 14, 2011.

 1. T

  Tsidekenu Senior Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hivi ni nini kilichoisibu hii club, iko on the way to Rainbow club kwenye ile barabara ya lami inayotoka Tangi bovu kuelekea baharini. Walikuwaga wanachoma kuku vizuri, majuzi nilipita hapo nikakuta walinzi tu wa kimasai and bad enough hawakuweza kutoa any jibu linaloeleweka.
   
 2. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wenyewe wamekwenda kupata "kikombe". Vipi bana?
   
Loading...