Mbeya: Watumishi 11 wasimamishwa kazi kwa kuwa na vyeti feki vya Kidato cha Nne

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,969
Watumishi 11 mkoani wa idara ya afya mkoani Mbeya wamesimamishwa kazi baada ya kukutwa na kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne hilo limefanyika baada ya zoezi la kuhakikisha vyeti kwa kushirikiana na baraza la mitihani NECTA ikiwa ni mwitikio wa agizo alilotoa rais John Magufuli.

Amesema waliwakilisha vyeti vingi NECTA na hivyo 11 ndio vikabainika vilikuwa vya kughushi ambao karibia wote ni wanawake

 
Watumishi 11 mkoani wa idara ya afya mkoani Mbeya wamesimamishwa kazi baada ya kukutwa na kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne hilo limefanyika baada ya zoezi la kuhakikisha vyeti kwa kushirikiana na baraza la mitihani NECTA ikiwa ni mwitikio wa agizo alilotoa rais John Magufuli
Amesema waliwakilisha vyeti vingi NECTA na hivyo 11 ndio vikabainika vilikuwa vya kughushi ambao karibia wote ni wanawake

Tukiacha uhalali vya vyeti (makaratasi) utendaji kazi wao ulikuwa kiwango cha chini ya elimu ya Form IV?
 
BAVICHA kazi yenu kumsafisha tu EL, lolote ata jema serikali ikifanya mnapinga, vilaza ni shida, heri Rais kaliona hili jipu, amelitumbua BAVICHA wanalia nao eti wameonewa
 
Back
Top Bottom