Mbeya water supply and sanitation authority.( mbeya WSSA)

malaika wa motoni

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
131
Reaction score
102
Wakuu salaam.

Naomba kupata updates kuhusu muundo wa USAILi kwa wale walioshiriki usaili ofisi ya mamlaka ya maji safi na maji taka mkoa wa mbeya siku ya j3 tarehe 10/09/2018

Nawasilisha..
 
Mkuu kulikuwa kuna post nyingi je post gani wameitwa kwenye usaili?
 
Back
Top Bottom