Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

kwanza chibolo unahitaji maombi ya kukifisha hicho chibolo
Taratibu nyingi za kazi tunazipindisha kwanini afisa wa elimu unakwenda kumkabidhi mtu sehemu ya starehe kama sehemu ya kazi
Serikali yetu ndio hivyo tena hatuwaenzi walimu badala yake tunawaenzi watu kama Chibolo

Mwisho tunamuomba mwenye kuleta mada afafanue zaidi eneo, lililofanyika tendo hilo la kinyama
 
Imekaa ki Mbeya Mbeya mana kichwa cha habari na habari na habari yenyewe ni Matango pori
 
Huyo mwalimu hana akili hivi utaendaje kujikabidhisha bar kwa mlevi unatafuta nn
Kwa nini aende kuripoti kwa afisa elimu jioni, si angelala aende kesho yake asubuhi. Kama alicheleweshwa na afisa elimu kwa nini asitoe taarifa takukuru mapema, ona sasa. Sasa asichelewe kupima HIV.
Pole mwalimu ingawa nawe kwa sehemu ulichangia.
 
Hapa kosa lina anzia kwa mwalimu, kwa nini yeye ameenda kuripoti muda mbaya? taratibu za kuripoti zinafahamika: Muda gani na wapi! kimsingi hawa ni wale aina ya wale wanaojilengesha ili wapate favour-ahadi isipotimia basi wamebakwa!
mnategemea nini una njaa alafu mtu anahacha Chakula kinazagazagaa? na hii habari ya kubakwa: alibakwa Counter ya Bar au alikokotwa mpaka chumbani??

Kosa kubwa lipo kwa afisa elimu wa wilaya. Makabidhiano ya kikazi yanatakiwa yafanyike kazini tena muda wa kazi, watanzania tunapindisha maadili ya kazi.Ni bora angempeleka moja kwa moja kwenye kituo cha kazi. Huwezi kwenda kumkabidhi mtu baa tena kwa mlevi ati ampeleke kituo cha kazi.
Afisa elimu wa wilaya ilitakiwa amtafutie malazi huyo mwalimu kwa sababu usiku ulikuwa umeshaingia, ili asubuhi yake ampeleke anapotakiwa.

Mwalimu mkuu nae ana kosa la kubaka, ambalo lingeepukika kama afisa elimu wa wilaya asingeenda kinyume na maadili ya kazi.
 
Umesema mwalimu mkuu anakesi halafu unauliza nani mwenye kosa kwani mtu anaekesi si ndie mwenye kosa?
 
Chibolo kinyumbani ni tuc.Manake ni chipenic.ameteleza.huyo tcha na mwenyewe alikuwa tayari kwa nn akubali apelekwe nyt??ya ngoswe mwachie...
 
1).Kwa nini aende kuripoti kwa afisa elimu jioni, 2).si angelala aende kesho yake asubuhi. 3).Kama alicheleweshwa na afisa elimu kwa nini asitoe taarifa takukuru mapema, ona sasa. Sasa asichelewe kupima HIV.
Pole mwalimu ingawa nawe kwa sehemu ulichangia.

1) Inategemea alikuwa anasafiri kutoka mkoa gani kuelekea Rungwe, siku hizi mabasi yanaruhusiwa kusafiri mchana hivyo kuna uwezekano kuwa aliingia Rungwe jioni.

2) Kawaida wanatakiwa kuripoti kwenye ofisi za afisa elimu ili wapewe maelekezo zaidi kuhusu kituo cha kazi, mahala pakufikia/malazi, n.k. Na si ajabu alikuwa hana ndugu Rungwe na wala hajawahi kufika Rungwe na wala hajui chochote kuhusu Rungwe. Hivyo ilibidi afuate mwongozo wa mwenyeji wake(afisa elimu). Kama angeambiwa alale nyumba ya wageni mpaka kesho asubuhi angefanya hivyo(kama hela ya kulipia alikuwa nayo) lakini hakuambiwa hivyo.

3)Kama alicheleweshwa na afisa elimu maana yake ofisi za takukuru zilikuwa zimeshafungwa, na yeye ni mgeni, na hajui ziko wapi, angeripoti vipi? ukumbuke tukio limetokea kabla kesho yake haijafika, na limetokea muda ambao ofisi zimefungwa.
Takukuru inahusika na mambo ya rushwa, na sio mambo ya mtu kubakwa.
 
hata wakibakwa sisi haituhusu istoshe walimu hawana faida yoyote kwenye jamii, ona walivofelisha wadogo zetu jamani nawachukia nyie acheni tu.

ulivyoandika haya ulimaanisha au?
kama ulimaanisha kufeli tu kwa hao wadogo zako ni ushahidi tosha kuwa walimu ni muhimu ikiwa utawapa fursa ya kuuonesha umuhimu wao.
kwa mujibu wa maneno yako kwa hiyo tusiwe na walimu kabisa katika nchi hii?
du hii itakuwa ya kwanza duniani na mbinguni
 
chibolo lazima ni mhitimu wa mwaka jana uliyetaga(kupata zero)

umeona eheeeeeee yani fikira zake kama yule mtoto aliyesema MDAHALO NI CHAKULA FULANI HIVI pale alipoulizwa na mtangazaji je unajua maana ya mdahalo
 
hili swala la kuwatendea ndivyo sivyo walimu limekuwa kitabia endelevu cha maafisa elimu huko mawilayani. kuna haya ya kutupiwa macho na kuwanyoosha. wanawachukulio poa hawa walimu wanaoenda kuripoti wakijua hawajui mazingira, wanahitaji ajira, wengine bado wadogo n.k wanapelekesha pelekesha sana. ndio maana wengi wa walimu wanaoenda kuripoti hukaa kidogo na kugeuza na kurudi makwao kutafuta kazi zingine.
 
watatuharibia watoto wetu hao mafedhuli! :-* sidhani kama hayo ni maadili achukuliwe hatua za kisheria wote afisa elimu na mwalimu mkuu
 
Wadau naona mmenishambulia mno badala ya kujenga hoja nilitaka mnisaidie nijue ikiwa walimu tunawalipa mishahara kwa kodi zetu then wanafelisha wadogo zetu mnawahurumia nn tena? Angalia wale waliokamatwa kwa rushwa kule mbeya hapo maadili yako wapi jamani,wacha watandikwe fimbo za ukweli ndio stahili yao.
 
iron lady nakuunga mkono nipo nachingwea nimemleta dogo ni mdogo kweli kapangiwa sehemu haina maji umeme wala nyumba za walimu shule ina kidato cha 1 na 2 kutoka nachingwea mjin hadi shulen lori au canter elfu 4 toka kituoni hadi shule buku 2 pikipiki amefika mkuu hayupo amekaribishwa na head boy hadi siku ya 2 saa 9 mkuu wa shule ndo kaja maswali je alikua wapi ?kumbe ye anakaa twn shule ina mwalimu mmoja panaitwa mkoka hivyn kesho namrudisha dogo moshi bora akafundishe private schls mko po walimnyima alafu akae porin ?lawama kwa walimu tuache nimeona mazingira hapa nachngwea sio kabisa mue mnatembea muone reality ya life
 
Nawashauri wawe wanabeba condom maana ukikataa unashangaa umeundiwa zengwe unafukuzwa
Inchi imeoza hii!Hakuna wa kuwatetea hawa ufuska ufuska ni sehemu ya kazi kila mahara
 
Back
Top Bottom