MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

petr15

Member
Joined
Aug 25, 2025
Posts
38
Reaction score
35
Kasumulu Mbeya
Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi.
Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano.

#Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
 
Wajinga wakubwa nyie, mtabaki mafukara milele na milele wenzenu wanapiga pesa na familia zao
samia anutoa umaskini kwa kasi ya kimbunga. Kwa nini watu wassisifie? yule jamaa wa chato alitufanya machiga nchi nzima bila kujali una elimu ama la ilimradi wote tuishi kama mashetani. Ikafikia kipindi tukaamiishwa kwamba ufukara ndo uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…