Kweli maana jamaa alipanic vitu juu ya kitu cha hovyo
Hicho ni kitufe cha kurekodi matukio km cha kwenye rimoti!!Habari wana jf
Leo mimi pamoja na jamaa yangu tulikuwa mbeya mitaa ya uhindini kwa lengo la kununua vipuri vya mashine.Sasa tukaingia kwenye duka la mhindi mmoja tukamkuta yuko na binti yake, huyu binti alikuwa ameweka alama nyekundu kwenye paji la uso,Sasa kama ilivyo kawaida ya wabOngo jamaa yangu akauliza maana ya hiyo alama Kwa bintiye we! Mhindi alikuwa mkali mithili ya mbogo aliyekoswa na risasi kwani alitufukuza dukani kwake Akiwa kashika mkono wa jembe la ng'ombe.
Baada ya kutoka watu wakatuaMbia kuwa tulikosea kumuhoji juu ya ile alama!sasa wakuu hiyo alama nyekundu(dot) ina maana gani kwa wahindi??
Naomba ufafanuzi pls!!
Yeye hauzi dot wala spea za hizo dot, alijua mnataka kumtapeli na ndiyo ilikuwa nia yenu.Habari wana jf
Leo mimi pamoja na jamaa yangu tulikuwa mbeya mitaa ya uhindini kwa lengo la kununua vipuri vya mashine.Sasa tukaingia kwenye duka la mhindi mmoja tukamkuta yuko na binti yake, huyu binti alikuwa ameweka alama nyekundu kwenye paji la uso,Sasa kama ilivyo kawaida ya wabOngo jamaa yangu akauliza maana ya hiyo alama Kwa bintiye we! Mhindi alikuwa mkali mithili ya mbogo aliyekoswa na risasi kwani alitufukuza dukani kwake Akiwa kashika mkono wa jembe la ng'ombe.
Baada ya kutoka watu wakatuaMbia kuwa tulikosea kumuhoji juu ya ile alama!sasa wakuu hiyo alama nyekundu(dot) ina maana gani kwa wahindi??
Naomba ufafanuzi pls!!
Ahahahahahaahaaa... ngoja niseme kidunchu...!!! HIVI WANGEKUWA WANKWENDA KUNUNU VIPURI HALAFU GARI ITAKE KUWAGONGA, wangeiacha tu iwagonge kwa vile kinachowapeleka pale ni vipuri vya mashine?Kilichowapeleka pale ni vipuri vya mashine au ni dot nyekundu kwenye uso wa msichana wa kihindi!?
Iq ndo nn mkuu?Iq yako ndio imehishia hapo?