BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 368
- 608
- Thread starter
-
- #21
Ka mkubwa, now nasema kutongoza ni wale wadada wa kule uhindini na mitaa ya mbaliz road wa maofisini wanaonekana wamestaaribika, au nako wale wale?. Ishu nikiwa na mwanamke nataka niichakate pekeanguKweli mtoa mada mgeni wa MBY. π
Mbeya ipo kimkakati bwamdogo, back in the days hapo tuliluwa hatuchukui mademu wa mitaa iyo unayoisema. Tulikuwa tunakwenda kwenye mashule au vyuoni na kwenyewe tunadaka wale wakutoka mikoa tulivu kama Rukwa au Sumbawanga huko, wanakuwa bado hawajawa wajanja.
We kweli unaenda chukua manzi tena wa barabarani Mafiati, Kabwe au Mwanjelwa. π
Bora hata Isanga kule unaweza pata demu muoga wa kuuza mbususu.
Nje ya mada: Usipotuliza wenge hapo na kujipa mda kuielewa Mbeya, mwaka mmoja tuu unapata UKIMWI hapo. Stuka mzee, mbeya akili kumkichwa. π
Wadada wengi kibaha Tinder hawaijui wala badoo, kuna dizain unauona utofauti. Kuna sehemu wanajulikana tu wadada mapepe huku sio rahis kujua ukiwa unapishana nao hayo maeneo niliyotaja, yaani now nikiwa kabwe jioni wadada wote pale hakuna ninaemuaminiWa wapi wametulia mwanetu?
Ka mkubwa, now nasema kutongoza ni wale wadada wa kule uhindini na mitaa ya mbaliz road wa maofisini wanaonekana wamestaaribika, au nako wale wale?. Ishu nikiwa na mwanamke nataka niichakate pekeangu
Now nimeabstain, niko na dry spell kama ya miez mi 3, maana ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni kujitoboa toboa tuu. Mi kama vipi naachana bhana na wanawake wa huku, wananiboa kinyama. Toka nije huku sijabahatika kupata mwanamke wa pekeangu yaani, ni full kamba.Demu wa kuchakata peke yako unaweza mpata hapo, ila utulize akili sana, wajanja wengi sana hapo. Mbeya kuna wimbi kubwa sana watoto wamezaliwa na MOTO, Utakutana na mtoto mkali mbichi hapo kumbe anakula SHUDU. π
Cha kukushauri hapo ni kuwa makini sana hapo, kwa hovyo sana hapo Mbeya. Chunguza chunguza sana mamanzi hapo na ujikinge bwamdogo. Hata sisi tulikuwa tunapiga ila kwa ujanja na undava mwingi sana. Kila la kheri.
Hadi mama yako yupo kwenye hiyo list?Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu
Now nimeabstain, niko na dry spell kama ya miez mi 3, maana ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni kujitoboa toboa tuu. Mi kama vipi naachana bhana na wanawake wa huku, wananiboa kinyama. Toka nije huku sijabahatika kupata mwanamke wa pekeangu yaani, ni full kamba.
Hivi hili ni la kulisemea mkoa wa Mbeya tu?! Bhasi ndugu yangu hujazunguka mikoa mingi hii Tanzania especially miji mikubwa. Alafu kingine being a friend suggested in Facebook ni muunganiko wa kuwa sehemu moja (Location), kuwa na number ya simu ya muhusika au inategemea na mutual friends walioko kati yenu na si vinginevyo. Kama unavyojiona wewe kuwa kwenye platforms nyingi na wao wana haki ya kuwepo huko pia kwasababu kama zako. Hayo mengine ni ya ziada tu ambayo yanapatikana mikoa yote na duniani kote. Labda uende kuishi kwenye sayari yako pekw yako au North Korea wanaotumia intranetππWakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Amia Mbalizi Ifisi kwa watoto washamba washamba wanaotoka Rukwa kuja kusoma chuo cha afya pale kama unataka wa peke yako.πNow nimeabstain, niko na dry spell kama ya miez mi 3, maana ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni kujitoboa toboa tuu. Mi kama vipi naachana bhana na wanawake wa huku, wananiboa kinyama. Toka nije huku sijabahatika kupata mwanamke wa pekeangu yaani, ni full kamba.
Mbona kama umekosa kazi ya maana ya kufanya huko Mbeya?Nimejitahidi, now siko interested nao kabisa. Niko ile natongoza mwanamke alafu akikubali nampotezea tuu.
Ni wapi unaenda kupata wa peke yako?Now nimeabstain, niko na dry spell kama ya miez mi 3, maana ilikuwa kila nikikutana na mwanamke ni kujitoboa toboa tuu. Mi kama vipi naachana bhana na wanawake wa huku, wananiboa kinyama. Toka nije huku sijabahatika kupata mwanamke wa pekeangu yaani, ni full kamba.
Kula kimyakimya,chapa lapa.Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
hao wa mjini ndugu walienda college ya utapeli na uhuni mwingi ndo wakaja mjini hata sio mbeya tu ni miji yote yaan hao watu ni wale wanakuibia ukiona tena mchana kweupeMkuu ni kweli hawa madada wa town wengi majambazi, unaweza ona binti yuko smart, innocence face ukasema umepata. Kumbe...
Muache mtotoWewe kibaha ni dar?
Kwahiyo kuijua Tinder na badoo ndio kipimo cha kutokutulia?Wadada wengi kibaha Tinder hawaijui wala badoo, kuna dizain unauona utofauti.
Ndio, kwan mama yangu n mwanaume?Hadi mama yako yupo kwenye hiyo list?
Huo ndo ukweli, watu watakuja na reply zao kuniuliza Hadi mama yangu yupo kwenye list, utadhani kuna mama mwanaume πKama ina ukweli hivii
Huo ndo ukweli, watu watakuja na reply zao kuniuliza Hadi mama yangu yupo kwenye list, utadhani kuna mama mwanaume π