BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 280
- 439
ChaiWakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Inywe sasa mjombaChai
Wewe kibaha ni dar?Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Nani kasema kibaha ni Dar aisee?Wewe kibaha ni dar?
Makaka zao nao wamekaa kimkakati, kuitana familia familia tuπ maneno kibaoSiyo mademu tu,Hata ma kaka zao nao hawajatulia vilevile!
Wewe ukimuangalia kisokorokwinyo kama Lucas mwashamba unaona zinamtosha kweli?
Nimejitahidi, now siko interested nao kabisa. Niko ile natongoza mwanamke alafu akikubali nampotezea tuu.Achana nao
Mkuu ni kweli hawa madada wa town wengi majambazi, unaweza ona binti yuko smart, innocence face ukasema umepata. Kumbe...Alokwambia uje kuniuzia uoga kuhusu wadada wa mbeya mwambie nimesema hujanikuta. Hao watu wewe umekutana na mjini mbeya toka kidogo nje ya mji upate mdadc wa maana sio hao majambazi ndugu yangu
Ndo kizazi cha mtandao mwananguWakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana, usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba. Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Wa huku wana disappoint sana, huwadhanii. Mi mwanangu sipend mwanamke muuzaji au la kupigwa na kila mtu kulaleki. Wananikera hawa wadada.Zama hizi ni kila eneo, ni tabu tupu
Kama ina ukweli hiviiWanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu