Mbeya vs Dar es Salaam wapi kupo poa?

Ukiwa unakaa tandale au kwa mnyamani dar utaichukia tu tafuta hela
 
Argument za kitoto.

Shule za sahivi zinafundisha watoto wanatoka vilaza.
 
Nimezaliwa mbeya uyole, iwambi kote kwangu shida ya mbeya Kuna vumbi sana....!

Kwa sisi wafanyabiashara (sio ya uchuuzi) mbeya hakutufai sio tu kwasababu ya mzunguko mdogo wa pesa lakini pia kupata materials kwa ajili ya uendeshaji wa biashara,

Dar Kuna Kila kitu, mbeya uwa naenda kutembea tuu...!
 
Yaan unafananisha kijiji kikubwa na Jiji.. kweli vijana mmechoka
 

Nadhani ukimuelewa mtoa mada amelinganisha uhalisia wa vitu na si hadhi za watu!
 
1. Mbeya anayosema Mwandishi Maji yake hayafai yana vijidudu hatari ukinywa basi jiandae na Magonjwa yoe ya tumbo yatakuhusu uliza takwimu za Magonjwa yanayoongoza Mbeya.

2. Jiulize kwa nini Wazungu wamejazana Iringa na sio Mbeya hali ya hewa ya Mbeya haifai kwa kuishi binadamu ni kali mno na hapo ni mbeya Mjini na Mbarali kwingine unaweza anika nguo wiki nzima isikauke.

3. Bora vibaka wa Dar mnaweza hata kuburgain wakati amekutaiti ila Mbeya unapigwa nondo ufilie mbali na hapo wanampekua jamaa wanamkuta ana jero.

4. Uchawi na Ushirikina mbeya umekithiri kiasi hata paka akilia mtu anajua karogwa.

5. Ubaguzi na Ukabila Wasafwa na Wanyakyusa , Wamalila, Wasangu, Wabungu, Wandali hadi Wanyiha hawapendani yaani hata ukifungua Biashara utapata tabu kuuza. Wajanja wao ni Wakinga maana wamewazidi uchawi.

6.Mji una vipindi vibaya kama Taleban yaani vumbi tupu yaani vumbi hata dodoma kuna afadhali

7.Miundombinu ni hovyo kabisa yaani wana barabara moja muhimu kama chupa ya chai, nyingine zote ni utopolo

8.Halafu ushamba kwao sifa

9.Vitongoji kama Isanga, Iganzo, Igodima, Ilemi, kagera ,soko matola, ghana, mbata, iyunga ,nzovwe,mabatini, isyesye ,igawilo kote huko ni utopolo tu kidogo Iwambi, new forest na forest ya zamani

10.Vyakula vya aina ya Samaki hadi wa ziwa nyasa bado ni gharama sana au utakula kande kila siku.
 
Hizi mada za kinjuka wanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya kata!!! Huwezi kuta MTU timamu anajadili pumba za hivi
 
kwingine unaweza anika nguo wiki nzima isikauke.

Hapo ni njombe, tena sio week tuu hata week 2 nguo haikauki....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…