Christopher Lasha
Member
- Oct 12, 2012
- 17
- 0
Wajumbe wapya wa MUST tufahamiane hapa..
Natafuta mtu wa kubadilishana nae,aje mech mi nije civil,alietayar anipm 0784024004
me nimepangwa Lab tech nataka nibalishe nipige mechanical inawezekana wakuu?
Natafuta mtu wa kubadilishana nae,aje mech mi nije civil,alietayar anipm 0784024004
Ukiwa na performance nzur inayokidhi unabadili tu
Wakuu Me Mepangwa Architecture...Wazoefu Katika Hyo Course Hapo Chuoni Watujuze Lolote Tafadhali
Mkuu vp kuhusu hostel hapo must?
Nimesoma diploma ya arch must naweza kukusaidia
Wakuu Me Mepangwa Architecture...Wazoefu Katika Hyo Course Hapo Chuoni Watujuze Lolote Tafadhali
Bila Shaka Mkuu..Vipi Chuo Kipo Vzuri Katika Hyo Course..Vipi Kuhusu Channel Za Ajira Kama Kujiajiri N.K?
Nami Nimepangwa Hapo Electrical Eng.
Vp Direct Cost Ni Kama Kiasi Gani?