Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Sengeri uranium Prospect under Prospecting Lisence No. 7004/2011 is 1.18 square kilometres in size and is located about 30 kilometres southwest of Mbeya City close to Tanzania - Zambia Railway ( TAZARA ). The following coordinates defines the area: latitudes 08 º 58 00 and 08º 57 30 South and longitude 33º 11 30 and 33º 12 12 East. Previous exploration conducted in 2002/2003 shows the area to be prospective for uranium.
Kuna kijana apa kasema Tanzania Mineral is everywhere you go!
Ndo maana wanataa lihamisha lile gereza pale maeneo ili kuweza ruhusu uchimbaji wa hii kitu maana nasikia ile ya Namtumbo UNESCO wanaweka zengwe.
Ila nadhani ile ya BAHI haina zengwe mda wowote wanaweza anza chimba kama sikosei
Nadhani kuna haja ya kuwa na sera amdhubuti juu ya uranium ili yasije yakatukuta ya Japan na URUSI.
http://stamico.co.tz/minerals/index.php