comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
daah Rose wee jicho tu hilo daah
Mkuu point yako ni nini ? Sawa anakuwa hana order lakin bado anainfluence, mfano rahis tu, kwenye ile list ya wauza unga wa ugali bwana riz alikuwepo lakin ulimwona ye kwenda kulala police ? Unadhan kwanini ? Your not thinking straight, are you ?...Unadhan mtu tu wa kawaida ukatoka hapa ukaenda na mboma police mtapata treatment sawa ? This is Africa and we all know how things operate, mtu akiwa madarakan anaweka watu wake akija kusepa wanamprotect as kurudisha fadhila...Umeongelea magreat thinker alafu wewe mwenyewe hufikirii kama magreat thinker ulowasema
Mbipu Mwenyezi Mungu ili akikupigia umwambie akupe Madini zaidi ya ' Akili ' ambayo huna na alisahau Kukuwekea alipokuwa akikuumba.
watu kama wewe wakati nasoma shule nlikuwa nawacheka sana yan jitu kubwa kubwa alafu kichwani hamna kitu, sasa wakati wa mtihani linahangaika kama linataka kukata kauli...Mungu akunyime vyote ila akupe brains mkuu...we endelea tu kuwanyenyekea binadamu wenzako ivyo ivyo....
"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana.
Rose hajala toka asubuhi alivyokamatwa na yuko Kituo Kikuu. Tumpiganie Rose Mboma.
#FreeRoseMboma
#AchaWoga2020"
=======
UPDATES :1420hrs
ROSE Mboma ameachiwa huru kwa dhamana. Nawashukuru mliopata taarifa kwa muda mfupi lakini mkapiga kelele sana. Nakushukuru RPC Ulrich Matei kwa ushirikiano. Hukulijua lakini mara tu nilipokujulisha kwa hoja umechukua hatua stahiki. Tunahitaji maafande wanaochukua hatua kwa haraka. Ubarikiwe sana na wadau wote Mbeya bila kumsahau Mwanasheria Sambala. Mungu awabariki.
#AchaWoga2020
View attachment 1106553
Huwa sisumbuliwi Kichwa au kupotezewa Muda na ' Morosoph ' wa mfano wako hapa Jamvini JamiiForums. Pole sana / mno.
i cosigned your bullshyt, I have never met a dumbass like you man...
You're a Certified Bozo / Cuckoo on this Platform.
Pia anaweza akawa kwenye uchaguzi wa mpenziHii kali!
Ipo siku atakamatwa wa JK maana hakuna alie salama.
Swali la msingi:kavunja sheria gani ya nchi?
Isitoshe,hapo huo ujumbe hauelezi ni Membe yupi na ni katika uchaguzi wa nini maana chaguzi ziko nyingi kuanzia za uraisi wa nchi,wa taasisi kama TFF,n.k.
Huu ni uoga uliopitiliza!
Kiherehere chake,ngoja wamkomeshe.Kwanza anajuaje kama jina lake litapita 2020 au hata kama atafanikiwa kuwepo kwenye kinyang'anyiro cha urais 2020.Na hata kama akiwepoo,kwani angepoteza nini kama angenyamaza halafu akamchagua,si kura ni siri?"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana.
Rose hajala toka asubuhi alivyokamatwa na yuko Kituo Kikuu. Tumpiganie Rose Mboma.
#FreeRoseMboma
#AchaWoga2020"
=======
UPDATES :1420hrs
ROSE Mboma ameachiwa huru kwa dhamana. Nawashukuru mliopata taarifa kwa muda mfupi lakini mkapiga kelele sana. Nakushukuru RPC Ulrich Matei kwa ushirikiano. Hukulijua lakini mara tu nilipokujulisha kwa hoja umechukua hatua stahiki. Tunahitaji maafande wanaochukua hatua kwa haraka. Ubarikiwe sana na wadau wote Mbeya bila kumsahau Mwanasheria Sambala. Mungu awabariki.
#AchaWoga2020
View attachment 1106553
Hii kali!
Ipo siku atakamatwa wa JK maana hakuna alie salama.
Swali la msingi:kavunja sheria gani ya nchi?
Isitoshe,hapo huo ujumbe hauelezi ni Membe yupi na ni katika uchaguzi wa nini maana chaguzi ziko nyingi kuanzia za uraisi wa nchi,wa taasisi kama TFF,n.k.
Huu ni uoga uliopitiliza!
Kabla ya uchaguzi tutaona mengi ... amekamatwa kwa amri ya nani? Na kwa kosa lipi?
We uoni hata ulinzi wao,fear of unknown. Ulinzi tosha ni kuishi vizuri Na jamii yako Kwa kutenda Na kusimamia hakiawamu hii ni waoga balaa...
Kiherehere chake,ngoja wamkomeshe.Kwanza anajuaje kama jina lake litapita 2020 au hata kama atafanikiwa kuwepo kwenye kinyang'anyiro cha urais 2020.Na hata kama akiwepoo,kwani angepoteza nini kama angenyamaza halafu akamchagua,si kura ni siri?
Hongera kwa kubadili gear angani.Hakuna kesi hapo we ndo umetasfiri hivo je yeye kama ana maanisha kijijini kwao kuna MTU mwenye jina hilo au kwenye umoja wao Na wako kwenye kampeni.Mtaviogopa hadi vivuli vyenu sababu ya matendo yenu
Hawa ni polisi wa aina gani sijapata kuwasikia?Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli
niko gudi mkuu. Kuna watu wanawivu na mamantilie. hii avatar mkuu ndio matunduizi mwenyewe huyo.hahahBadili avatar yako inatisha na kuchekesha. Vipi supu haijaleta madhara?