Mbeya: Rose Mboma akamatwa na Polisi kwa kusambaza picha zenye Ujumbe "Nitamchagua Membe 2020"

"Nitamchagua Membe 2020" na "Apite bila kupigwa hadi 2025" kuna utofauti gani?
Kila Mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa,Tanzania ni yetu sote sio mali ya watu au kikundi cha watu.
 
"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana.
Rose hajala toka asubuhi alivyokamatwa na yuko Kituo Kikuu. Tumpiganie Rose Mboma.
#FreeRoseMboma
#AchaWoga2020"

=======

UPDATES :1420hrs

ROSE Mboma ameachiwa huru kwa dhamana. Nawashukuru mliopata taarifa kwa muda mfupi lakini mkapiga kelele sana. Nakushukuru RPC Ulrich Matei kwa ushirikiano. Hukulijua lakini mara tu nilipokujulisha kwa hoja umechukua hatua stahiki. Tunahitaji maafande wanaochukua hatua kwa haraka. Ubarikiwe sana na wadau wote Mbeya bila kumsahau Mwanasheria Sambala. Mungu awabariki.
#AchaWoga2020
View attachment 1106553
Huyu ndiye Rose Mboma?
 
Acha kuwatishia nyau makamanda wewe! Muda huu uko mtaa wa Lumumba ukisubiria zamu yako ya kulipwa buku 7 yako!

Halafu uwaambie hapo lumumba wanaweza wakapambana na chadema na kuwashinda ila hawana ubavu wowote ule wa kupambana na nguvu ya umma! Ngoja muda ufike uone ni kwa namna gani utakimbilia vichochoroni ukiwa na huo mshati wako wa kijani.
Huo mshati wa kijani wakati huo hautakuwa mwilini wala suruali nyeusi .Atakuwa anakimbia na singland juu chini boxer! 😂😂😂
 
Mletee chakula Rose ale hujazuiliwa.

Police mkipokeaga laki nne za mwisho wa mwez mnasumbua sana, umaskini mbaya sana unaweza ukakufanya uwe mnafiki au mwanaume mwenye tabia za kike, ...yan kwa maelezo yako tu mtu anaweza predict your physical appearance 🤣🤣🤣🤣 Pole sana mkuu...UJINGA NI MZIGO....
 
Upo sahihi mkuu, hakika nakwambia ukivaa ilioandikwa nitamchagua JPM 2020 hakuba ataekae kubugudhi.
Mahakamani kuna kitu kinaitwa circumstantail evidence yanai mazingira ya tukio yanajenga ukweli wa jambo.

Circumstantial ni kwamba hizo t-shirts umesema zina maneno "Nitamchagua Membe 2020".

Je, maneno nitamchagua yanatumika kwa ajili ya uchaguzi upi?
Je, anaweza kuthibitisha kuliwahi kuwepo T-Shirt ambazo haziendani na uchaguzi?
Je,Membe anayemsema atamchagua kwa lipi?

Neno tu nitamchagua lina maana ya kuhamasisha ni kampeni.
 
Kwani Mkuu wa Majeshi huwa akistaafu huwa anastaafu pia na Jeshi lote na kwamba huwa bado linakuwa chini yake hadi Kufa Kwake kiasi kwamba bado tu atakuwa na ' Order ' nalo? Kuna Watu hapa JamiiForums ni ' Mapopoma Waandamizi ' hadi mnatufanya tuhoji kama kweli ' Ubongoni ' mwenu nanyi mliwekewa Madini ya ' Akili ' kama yaliyowekwa kwa Wanadamu ( Great Thinkers ) wengine kwani huwa mnakuja na ' Hoja ' ambazo ni za ' hovyo hovyo ' mno.

Mkuu point yako ni nini ? Sawa anakuwa hana order lakin bado anainfluence, mfano rahis tu, kwenye ile list ya wauza unga wa ugali bwana riz alikuwepo lakin ulimwona ye kwenda kulala police ? Unadhan kwanini ? Your not thinking straight, are you ?...Unadhan mtu tu wa kawaida ukatoka hapa ukaenda na mboma police mtapata treatment sawa ? This is Africa and we all know how things operate, mtu akiwa madarakan anaweka watu wake akija kusepa wanamprotect as kurudisha fadhila...Umeongelea magreat thinker alafu wewe mwenyewe hufikirii kama magreat thinker ulowasema
 
Hii kali!

Ipo siku atakamatwa wa JK maana hakuna alie salama.

Swali la msingi:kavunja sheria gani ya nchi?

Isitoshe,hapo huo ujumbe hauelezi ni Membe yupi na ni katika uchaguzi wa nini maana chaguzi ziko nyingi kuanzia za uraisi wa nchi,wa taasisi kama TFF,n.k.

Huu ni uoga uliopitiliza!
Uwezo wa kufikiri unapokuwa duni ndio maana yule pongo alipoulizwa ".... uzito wake unaujua... akajibu siujui!!! Je ni kweli ni mwepesi kama karatasi? Akajibu tena ....sijui"

TOFAUTI IKO WAPI?: Unapotazama TV za wenzetu (hususan Kenya) vipindi vyao vingi ni productive ukirudi hapa kwetu ni burudani na viunu 24/7..
IKIWA KWENYE MEDIA HATUJABADILIKA, TUNATARAJIA KUBADILIKA VIPI FIKRA NA MATENDO YETU? NILIMSIKIA "CHAKUBANGA" AKIWANASIHI VIJANA KWAMBA WAO NDIO WATABADILI NCHI NILISHANGAA SANA IKIWA YEYE ANASEMA HIVYO NA VIJANA MEDIA WANAZOTAZAMA NA VIONGOZI AMBAO NI MIFANO....
KWELI WAZEE WA KUJIVUA MAGAMBA WANAJUA KUJIVUA GAMBA NA KUWAVIKA MAGAMBA MADOGO!!
TUWAACHE WAFU WAWAZIKE WAFU WAO...
 
Hii kali!

Ipo siku atakamatwa wa JK maana hakuna alie salama.

Swali la msingi:kavunja sheria gani ya nchi?

Isitoshe,hapo huo ujumbe hauelezi ni Membe yupi na ni katika uchaguzi wa nini maana chaguzi ziko nyingi kuanzia za uraisi wa nchi,wa taasisi kama TFF,n.k.

Huu ni uoga uliopitiliza!

Hata mimi nashangaa kafanya kosa gani. Kwanza tujiulize, nini maana ya kufanya kampeni. Mimi ninavyoona amevaa tu fulana iliyobeba ujumbe bila ya kumfuata au kumkera mtu au kikundi cha watu.
 
"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana.
Rose hajala toka asubuhi alivyokamatwa na yuko Kituo Kikuu. Tumpiganie Rose Mboma.
#FreeRoseMboma
#AchaWoga2020"

=======

UPDATES :1420hrs

ROSE Mboma ameachiwa huru kwa dhamana. Nawashukuru mliopata taarifa kwa muda mfupi lakini mkapiga kelele sana. Nakushukuru RPC Ulrich Matei kwa ushirikiano. Hukulijua lakini mara tu nilipokujulisha kwa hoja umechukua hatua stahiki. Tunahitaji maafande wanaochukua hatua kwa haraka. Ubarikiwe sana na wadau wote Mbeya bila kumsahau Mwanasheria Sambala. Mungu awabariki.
#AchaWoga2020
View attachment 1106553

Haya sawa. Mrupo tumeuona
 
Hii awamu watanzania tunaisoma namba mifukoni (japo tunabatizwa tulikua wapiga dili) ila sikufichi Jiwe anaisoma namba zaidi yetu.
Tofauti yetu sisi na yeye ni kwamba yeye mfukoni yuko vizuri ila hali ya furaha ya uongozi kama watangulizi wake ni hamna kabisa.
 
NAJUA UKIVAA TSHET YA KWAMBA UTAMCHAGUA MAGU 2020 UNAEZ DHAMINIWA KIPINDI PALE TBC1 KWA SHART LA KWENDA NA HIYO TSHET HAKIKA HUU UTAWALA TUNAISOMA WOTE NAMBA YA KIRUMI
 
Kwani kuvaa fulana yenye kubeba ujumbe ni kosa? Au angevaa fulana iliyoandikwa "CCM mbele kwa mbele" angekamatwa?
Au angevaa hii angekamatwa?
tapatalk_1556254614591.jpeg
FB_IMG_1558179989358.jpeg
tapatalk_1557627553733.jpeg
 
Back
Top Bottom