Mbeya: Rose Mboma akamatwa na Polisi kwa kusambaza picha zenye Ujumbe "Nitamchagua Membe 2020"

"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana.
Rose hajala toka asubuhi alivyokamatwa na yuko Kituo Kikuu. Tumpiganie Rose Mboma.
#FreeRoseMboma
#AchaWoga2020"

=======

UPDATES :1420hrs

ROSE Mboma ameachiwa huru kwa dhamana. Nawashukuru mliopata taarifa kwa muda mfupi lakini mkapiga kelele sana. Nakushukuru RPC Ulrich Matei kwa ushirikiano. Hukulijua lakini mara tu nilipokujulisha kwa hoja umechukua hatua stahiki. Tunahitaji maafande wanaochukua hatua kwa haraka. Ubarikiwe sana na wadau wote Mbeya bila kumsahau Mwanasheria Sambala. Mungu awabariki.
#AchaWoga2020
View attachment 1106553

Pole dada, ndiyo matatizo ya kutojuwa kusoma yalivyo. Rudi tu shule, hujachelewa
 
Tuliopoajiriwa kujipendekeza kwa boss ilikuwa lazima, ila siyo kwa kiwango hichi, yadhihirisha udhaifu wa kutisha wa polisi wetu, hatushangai rushwa imewalevya mpaka wakafikia kiwango hichi cha kutisha...
 
Kwani kumchagua Membe 2020 ni kosa la jinai hadi Rose Mboma akamatwe kinyume cha sheria. Membe angekuwa Rais wa nchi hii tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana.
Rose hajala toka asubuhi alivyokamatwa na yuko Kituo Kikuu. Tumpiganie Rose Mboma.
#FreeRoseMboma
#AchaWoga2020"

=======

UPDATES :1420hrs

ROSE Mboma ameachiwa huru kwa dhamana. Nawashukuru mliopata taarifa kwa muda mfupi lakini mkapiga kelele sana. Nakushukuru RPC Ulrich Matei kwa ushirikiano. Hukulijua lakini mara tu nilipokujulisha kwa hoja umechukua hatua stahiki. Tunahitaji maafande wanaochukua hatua kwa haraka. Ubarikiwe sana na wadau wote Mbeya bila kumsahau Mwanasheria Sambala. Mungu awabariki.
#AchaWoga2020
View attachment 1106553

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hajavunja sheria yoyote ile ya nchi lakini hizi ni enzi za mwendawazimu, nduli na dikteta ambaye anapenda sana kutukuzwa utadhani yeye ni mungu! Kinyume cha hapo ataona ni ZEREU hivyo hukumu yake ni kupotezwa AKA KUUAWA.

Watu wengine hawafai kabisa kupewa madaraka.Tungekwa na system nzuri huyu mtu asingekuwa wa kupewa hiyo nafasi.Ni hasara kwa Taifa letu tena kubwa sana.
 
Nchi hii ina mambo ya kijinga kabisa, wasimamia sheria wamegeuka kuwa waoga na wa kujipendekeza
 
Kwenye elimu huwa kuna makundi matatu
1.schooling by age
Huyu anaemda shule/chuo kwakuwa uri kama huo watu huwa wanakuwa na degree au diploma au ujuzi fulani.
2.schoolinh by influence
Mazingira yanakulazimisha usome kitu fulani, mfano ili ushike au uendelee kubaki kwenye wadhifa fulani au kitengo fulani,Lazima uwe na elimu fulani, au ili upimzike kazi fulani iende tu chuo kozi itauotokea utauokubaliwa.
3.Schooling by purpose
Hii nibusomaji wa fani kwa malengo ,wito nia na kutumika ,kilinda ,kutetea na kisiamia haki.

Hapo utakuwa umenieewa mkuu
Labda wana sharia wanisaidie; hivi kwa mfano mtu kama huyo akipelekwa mahakamani, atashkiwa kwa kosa gani? Halafu najiuliza tu, kwa mwanendo tunao kwenda nao sasa hivi, hivi kweli kabisa IPO sababu hata 1 ya police wetu kuwa wasomi hadi wa sheria? Najua wapo ma RPC, OCD nk wenye had shahada/degree za sheria, hvi ni za nini kwao? Udhalilishaji tu wa elimu hakika.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hii kali!

Ipo siku atakamatwa wa JK maana hakuna alie salama.

Swali la msingi:kavunja sheria gani ya nchi?

Isitoshe,hapo huo ujumbe hauelezi ni Membe yupi na ni katika uchaguzi wa nini maana chaguzi ziko nyingi kuanzia za uraisi wa nchi,wa taasisi kama TFF,n.k.

Huu ni uoga uliopitiliza!
Wanisamehe tu Ila polisi ni vilaza kupitiliza. Vipi Kama atamchagua membe kuwa mume wake/mpenzi wake ikifika 2020?

Huyu ni Membe gani ambaye Hana haki ya kuchaguliwa???
 
Hii kali!

Ipo siku atakamatwa wa JK maana hakuna alie salama.

Swali la msingi:kavunja sheria gani ya nchi?

Isitoshe,hapo huo ujumbe hauelezi ni Membe yupi na ni katika uchaguzi wa nini maana chaguzi ziko nyingi kuanzia za uraisi wa nchi,wa taasisi kama TFF,n.k.

Huu ni uoga uliopitiliza!

wewe salary slip kuna clip yako imo humo ukimshtumu uongozi wa kikwete ni mbaya hampumui na akimaliza madaraka kikwete utachinja mbuzi sasa leo unamtetea membe ambae ndie utawala huo huo wa kikwete watanzania bwana achana nao
 
Nimeiokota sehem tena inasemekana ile ya MEMBE ni edited tu wala siyo yeye kifupi ni WIVU TU
IMG-20190525-WA0002.jpeg
 
Yana mwisho haya! Hata watu wa Sudan walikuwa mazoba kama sisi lakini siku itafikia ata usiwe na haraka na wasi endeleeni ukandamizaji wa haki za watu; ipo siku mtakipata mnachokitafuta

Umewahi kusoma au kusomewa Historia ya sudan!

Lile ni Taifa la Kimapinduzi mwanzo mwisho

Halijawahi kumkabidhi Rais Mamlaka ya kuongoza kwa njia ya kura
 
Back
Top Bottom