digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,894
- 14,353
Machafuko yanaanza lini na wapi?utawala wa samia soon unaipeleka nchi kwenye machafuko
Hiyo ndo namna sahihi ya kudeal na magaidi,acha serikali ishughulike na magaidi
Machafuko yanaanza lini na wapi?utawala wa samia soon unaipeleka nchi kwenye machafuko
ni jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu wa chademaChaso ndio mdudu gani
kushiriki mahafali ya chaso ndio kosa laoTaarifa nyepesi...kosa/tuhuma,za kukamatwa???
Ndiyo kosa kuhudhuria Mahafali?Walikuwa kwenye Mahafali ya Chaso
Acha tuendelee kuombeana mabaya tu,na hatutakuja kuwa wamoja kamwe kwa sababu hata kale ka imani kadogo kalikoanza kurudi,wamekachafuaHayo ndio maagizo ya bi chokochoko
Hakuna haja. Kama unakiuka sheria tegemea kushughulikiwa. Unaambiwa usifanye wewe unafanya, unategemea nini?Mtunge sheria vyama vya UPINZANI wasiende hata vyooni.
Sheria ipi iliyokiukwa?Sasa kama wamekiuka sheria wasikamatwe kwani wao ni nani?
Mbona Jana Dodoma kulikuwa na Jojina sijui hawakuwakamatani jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu wa chadema
U..s.....n...lism..Ma...nn....na Polisi..nimedharau sana...kushiriki mahafali ya chaso ndio kosa lao
Waulize polisi. Unaniuliza mimi ili iweje?Sheria ipi iliyokiukwa?
hawa si wanapokea maagizo tuMbona Jana Dodoma kulikuwa na Jojina sijui hawakuwakamata
Wewe si ndo umesema habari ya kuvunja sheria?Waulize polisi. Unaniuliza mimi ili iweje?
Hiyo picha ya mwaka 2012, Hebu acha kuleta propaganda zako za ufipa.
Polisi ndio wamewakamata, sio mimi.Wewe si ndo umesema habari ya kuvunja sheria?
Kwamba chadema hawajakamatwa leo ?Hiyo picha ya mwaka 2012, Hebu acha kuleta propaganda zako za ufipa.
Akili zenu wafuasi wa upumbavu ni za kijinga sanaSasa kama wamekiuka sheria wasikamatwe kwani wao ni nani?
Ndiyo maana uli disco DUCE pamoja na kuwa uvccm.Sasa kama wamekiuka sheria wasikamatwe kwani wao ni nani?
Naongelea hiyo picha, mbona hatuelewani?Kwamba chadema hawajakamatwa leo ?