mgodi wa makaa ya mawe uko mbeya
gesi nyingi na safi inapatikana mbeya
migodi midogo ya dhahabu mbeya
kiwanda kizuri ca cement mbeya
kimwondo kilichoanguka mbeya
shule nzuri a nyingi sana za sekondary za private mbeya
wasomi wengi wanapatikana/wametokea mbeya
hoteli nzuri na za kisasa zipi mbeya
international airport wanataka kuizuia mbeya
madini(gemstone-pandahill) ambayo hayapatikani sehemu nyingine duniani
watu wakarimu zaidi wanaparikana mbeya
kitu gani nimesahau, yes hospital ya rufaa siyo kitu kidogo
bonde la ufa na matetemeko ya ardhi-mbeya
ziwa nyasa-lenye mawimbi makali
kwanza niendelee kukumbuka ....