Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Watu wengine bwana kwa kuleta analysis za kibaguzi.....ndio maana hatushangai kuona Department mzima mmejezana kindugu (watu wa mbeya na kilimanjaro)....
Kila siku kujisifia......Kila siku kuwatukana watu wa Pwani ,eti Mnawaita Waswahili lakini Humuondoki Huku Pwani..kila siku mnadandia magari kuja Dar es salaam....Mshachoka Kuchunana ngozi huko kwenu ?
Hembu tutolee List ya top 20 most successfully entrepreneurs hapa Tanzania..kama hamjajikataa wenyewe...
Mtaacha lini Kujisifia kuukanda kila siku ?
Halafu kama mnajiona nyinyi Mko juu si mhame huku Pwani..
Rudini Maporini Kwenu....
Kijitu Kimeajiriwa Kama Bank Teller Kinapata 500,000 kwa mwezi kinaanza kudhani watu wa mkoa wake wote wana Maisha kama yake...Hiki kinasahau watu wa Mkoa wake wengi wao bado wanaishi maporini huko wakichunana ngozi na kuua Albino....
Halafu hivyo vi-college vya kata mnavyofungua huko maporini mnaviita Universities ?? Hamjawahi Kuziona Universities zilivyo ???
Oh sisi tuna hasira ya Maisha...kajiue basi
Yale yote nliyokuwa nakuelewesha naona hujaelewa hata mmoja....sina njia nyingine Kukuelewesha.....Rudia Posti zangu utapata majibu yako....Kama hutaki endelea KubishaBiashara ya ajabu ni kosa kisheria sijajua unamaanisha nn iyo mos.,pil iv unabisha kwa sabab kwenu pwan au ndo unconscious,iv nyie kariakoo mnafanya biashara gan kubwa,biashara kubwa pale zinashikiliwa na wahindi,wachaga,wakinga na few chinz,nyie mko wapi...uku uswahilin ivyo ivyo wa2 kutoka mikoan ndo wanamilik maduka na biashara nyingine kubwa nyie mko wap?,ss 2ko uswahilin 2naona na kipimio kizuri mostly standard yenu ya maisha tofaut na wengine na ilo bisha,.vijana weng vijiwen wamejazana na makempu yao yasio na maendeleo...fungua macho uone,uhoji then chukua ha2a usibishe wakat wa2 2naona...
Mkuu huna hata kimoja chenye mashiko,huwez geuza mbingu ikawa dunia wakat zinajieleza.,huna kipya manYale yote nliyokuwa nakuelewesha naona hujaelewa hata mmoja....sina njia nyingine Kukuelewesha.....Rudia Posti zangu utapata majibu yako....Kama hutaki endelea Kubisha
Kama unajua kuwa tabia ni za mtu binafsi..na so za jamii nzima ...kwa nini mleta mada amejumlisha kuwa watu wote wa pwani Hawana maendeleo...
Hivi kuna Mkoa ambao hauna wasomi hapa nchini...?
aisee hizo universities/colleges zote hizo ziko mbeya? si mchezo
Mbona povu linakutoka we wapwan mbona hujapata hata ulinz wa bank,ulikuwa wap wenzenu wanavamia mji wenu wanajiendeleza mpaka wanapeana madaraka msipeane nyie..,acha kukaa kijiwen kafanye kazi..
Nicholas said:Kuna wavivu kila mahlai ila kwa wachaga kujaa vibarazania asubuhi wakiwa wamevaa khanga mbili, na misuli hadi siku inaisha kila mtu atakushangaa.Akina mama wa kichaga arusha,moshi saa 11 wapo njiani na ndoo,vikapu etc wanawahi masokoni kununu bidhaa bora,saa moja wamshapanga ktk megenge au sokoni na tayari wanakwenda kufany abishara nyingine kama kununua na kuuaza mitumba,kutafuta nyasi za ngombe ambao pia wakiuzwa mtoto anakwenda shule au kwenda mashambani.
Cha kushangaza hawa akina mama wa apwani wanaoshinda vibarazani na nyumba zao zinathibitisha jinsi zilivyojengwa,wana miguu iliyopasuka pasuka vibaya ,huku wakiwa wachafua wa mwili na nyumba zao.
Mkuu personally huwa sipendi watu wanao propagate mambo ya ukabila, au kusema vibaya makabila mengine - majivuno yasiyo na tija, wengine tumewahi kutembelea mikoa hiyo mpaka vijijini - utakuta vijijini ni watu masikini sana na vijumba vya kienyeji vilivyo jengwa kiajabu hajabu, uwezi kabisa kulinganisha na nyumba za kienyeji za watu wa pwani ambazo zimejengwa kiufundi sana na wanajuwa sana kujali mazingira hawakati miti ovyo, si hilo tu watu wa pwani ni binadamu wakalimu sana hawana majivuno na kujikweza.
Vyuo vikuu anavyo zungumzai vya mkoani Mbeya ni branch tu za vyuo vikuu husika, Ukija shule za ufundi za VETA mbona vimetapa kaa nchi nzima, siyo vizuri kujaribu kuwafanya binadamu wenzako wajisikie vibaya.
Ahsante kwa marekebisho.
Pia kuweka record sawa.Barabara za Kilimaanjaro maeneo mengini mpya sana.Manispaa wamekuwa wakiongeza kilomita kila kukicha, ziendazo nje ya Mji zilijngwa na taasisi fulani ktk meneo husika kupitia ufadhili.Mweka zilijengwa na chuo cha wnayama pori Mweka,kwa umihimu wa KCMC ,Chuo cha Ushirika, bara bara ya machame nayo ilijengwa kwa umuhimu wa machame hospital na lobbying ya wamachame wa mwanzo, marabara ya Moshi arusha kutokea maeneo ya CCP imeshaharibika na kabisa baada ya barabara kuhamia barabara itumikayo leo.Barabara zote zimetoweka na kubakia machimo yanayonyesha kwa mbalia kuwa paliwahi kuwa na lami.Kilichobaki ni vidaraja vyembamba vya mjerumani ambavyo vinasifika kustahimili shuhuli.
Barabara ya mailisita kwenda weruweru ni msaada kwa shule ya weruweru na ushawishi wa mama merry Kamm.Barabara ya sanya Juu,nayo ni kwajili ya umuhimu wa mardi wamisitu wa west kilimanjaro na hospital ya rufaa ya kifua kikuu. Nyingine zote ni mpya kabisa.
Kwa ujumla wakoloni waligundua njia salama kwao kudeal na wachaga ndio maana manamba walitoka nje "cha saka, machomba, wakasa".ambao walikuwa ni watu wa porini na wa hovyo.Wakoloni walijenga mfumo ambao hado leo CCM wanatumia mthibiti mchaga.Shule za wachaga zilijaa watu wa kuja kuliko wachaga wenyewe an hata watu wa nje.Shule niliyosoma haikuw ahi faulisha hata mtu mmoja hadi hsule za kata zilivyokuja ila wote walioamua kwenda secondary masomo hayakuwa kikwazo.Hao watu wa Tanga na mikoa mingine wana tabia hatarishi kiuchumi kwao na kwa watu wanaowazunguka.Hesabua kina Shelukindo ,Kibanga na hata Makamba leo, wamepat anafasi ya kucheza roll kubwa sana ktk nchi inayojengwa na wengine,ila uwepo wao maadarakani ndio ulinzi wao kiuchumi, wakitoka tuu ni muda tuu kila kitu kinabaki hadithi.
Tatizo ni watu, kwa pinda na Zenj maeneo ambayo hayjawahi pata lami kabisa, wawakilishi wao wamekubali jengea lami ya kiwango cha chini kwa kushiriki katika rushwa."hata hapa panatosha nani atakuja dai wakati hata hii ni neema tosha".
Statistics zisizo rasmi zinaonyesha kuwa wachaga walijenga nyumba kwa kazi kama kuchinja,kushona, biashara ndogo ndogo na wachache kupitia shule(miko ya maofisini na viwandani).Ila Tanzania nzima,mikoa mingine yote watu wamejenga kupitia mashirika,kama si reli, ni bandari, ni TTCL,Posta,bank ,general Tyre, Urafiki na kwingineko wachaga hawakuwa wengi kwani System ya Nyerere iliwabana na iliendelea wabana hadi leo huku wengine wakiruka hivyo vikwao wanavyotaka kwa minajili ya dini na mengineyo.
wachaga wan adapt mazingira haraka sana na kubadili kuwa success hata pale wakiwa ni underdogs,wachaga wengi waliingia mjini wakiuza karanga, umachinga, shoe shining,house boys,kuuza makongozo na chips etc huku wakidharaulika na wenyeji wao ila soon wanaanza kubalika na mizaha waliyokuwa wakikejeliwa inakuwa Brand yao na baadaye wanakuwa threat kwa wenyeji.
mkuu naona nisamehe kama nasound too harsh na mkabila.Ila nilikuambia pia walioshuudhia hayo pia kuna wapare na makabila mengine.Pengine na uwezo wangu wa kutumia lugha pia unaweza kuwa tatizo au hata misimamo yangu inaweza kuwa ni extreme ila ningependa usikimbie baadhi ya vitu.Sijasema kuwa hayaoa yafanyikayo na wapare au wachaga ni genetic kwani sina proof kwa hilo.Ila tamaduni na kuathirika kwa tamaduni ni tatizo.Hata hao wapare wanatofautina pia, walio karibu na wakamba nao huko Kenya ni tatizo ktk kuaminika linapokuja suala la kuweka maslahi binafsi pembeni.(Yaani akina shibuda ni wengi sana), na kuna wapare wanaowabeba wengine kama tunavyowaona waking`aa mijini.Nicholas,
nilifikiri utajifunza kuacha dharau lakini wapi. kama wapare wangekuwa wavivu basi leo hii wangekuwa ombaomba wakubwa kabisa hapa tanzania. napenda kukuhakikishia kwamba jamii yoyote ile yenye silka ya uvivu haiwezi kuishi ktk mazingira magumu ya upareni.
umeeleza ukweli kuhusu historia ya wapare na ufuaji chuma pamoja na uingiliano wao na wachaga. kitu ambacho umesahau ni kwamba siyo wapare wote waliokuwa na utaalamu huo wa kufua chuma, bali ni koo chache tu za wapare. sitaki kuzama katika historia hapa. kuhusu suala la vita, au kutawala makabila mengine, wapare hawana historia ya kuwa wapiganaji vita pamoja na kwamba miongoni mwao kuna koo zenye historia ya kufua vyuma na kutengeneza silaha. wapare wameshawahi kuvamiwa na wachaga, wazigua, wasambaa, na kushindwa katika vita vyote hivyo kutokana na ukweli kwamba hawakuwahi kuwa na watawala wenye nguvu. hizo zama ambazo ulitegemea wapare wawatawale wachaga, kulikuwa hakuna kabila linaitwa "wapare" bali kulikuwa na koo ndogo ndogo zisizokuwa na utawala rasmi--yaani uncoordinated. hizi dharau zako zinaweza kutibiwa na kujifunza historia kidogo.
wapare wana asili ya zaidi ya kabila moja ya afrika mashariki. kuna wenye asili ya ukamba, uchaga, utaita, na makabila mengi wanayopakakana nayo. hata leo hii unaweza kukutana na watu wachaga wengi tena wengine wenye hadhi kubwa ambao wana asili ya upare. hali hiyo pia ipo kwa wapare ambao wana asili na majina ya kichaga. kama umewahi kumsikia advocate tenga ambaye ni mpare, lakini leodgar tenga wa tff ni mchaga.
kuhusu mradi wa mpunga kihurio sina habari zake ila nitazitafuta. maeneo ya kihurio,ndungu,na gonja yanasifika sana kwa kilimo cha mpunga. kilimo cha mpunga upareni kina matatizo mengi lakini kubwa kupita yote ni upatikanaji wa maji, na kupungua kwa rutuba katika ardhi. pia kuna uharibifu wa mazingira unaotokana na population kuongezeka maeneo ya milimani. kilimo cha mpunga siyo kirahisi kama unavyokielezea hapa, nadhani umetoka huko mjini na uchagani na dharau zako ukaanza kutukana watu. sina hakika kama umewahi kujisaili wewe binafsi matatizo yako ni nini mpaka ukashindwa kufanya kazi na hao wapare unaowatoa dosari. kwasababu mimi naona maneno yako mengi yana ukakasi mkubwa sana wa dharau na ubaguzi.
kilimo cha mpunga: hii ni shughuli ya asili kwa wananchi wa tambarare ya upare. raisi mwinyi aliwahi kutembelea tambarare ya upare na kuwapongeza wananchi kwa kilimo cha kisasa!! wananchi walimshangaa kwasababu wamekuwa wakilima kwa umwagiliaji tangu enzi za mababu. sasa kuna kipindi mchele wa upareni ulikuwa unafika mpaka mombasa, tanga, na daresalaam. tena mombasa ulikuwa unakwenda kwa magendo a kuna wapare wametajirika kwa magendo ya mpunga. ni nini kimetokea mpaka kilimo hicho kimekuwa na matatizo hilo ni suala ambalo wadau wa upare tunapaswa kulipatia majibu.
narejea tena katika hoja yangu kwamba huko uchagani mmepakatwa kwa muda mrefu na wakoloni. huna haki yoyote ile ya kutoa maneno yako ya dharau kwa jamii nzima. hata sisi mkoloni angetupakata tungekuwa mbali kuliko ilivyo sasa hivi kwasababu kile mpare ukimpa idea ndogo tu lazima itaikuza.
Kwenye harsh and limited life conditions ndio kunakuwa na maendeleo because you either swim or sink. Europe kuna more harsh conditions kuliko most parts of Africa na ndio maana watu wanajituma na kuna maendeleo tunayoyaona.
And this reminds of this joke:
Mzee mmoja wa Kichaga aliekuwa mgonjwa kitandani alimuita mtoto wake mmoja wa kiume ambae maendeleo yake kielimu na kimaisha hayakuwa yanamridhisha baba yake. Kijana alipokuja baba yake akamwambia: "Mwanangu John, nimekupeleka shule umeshindwa, nimekufundisa wisi umeshindwa. Sasa mimi ninakufa utakula mafi yako!
Sasa hakuna kabila lilobaki nyuma kwa maendeleo na kusoma. Ngoja nawaulize wachaga ambao mnajisifia sana kwenye huu uzi kwa nini sasa mnabaguana na kudharauliana, Mkibosho anamuona Mkishimundu mjinga, Mrombo anamuona Mmachame mshenzi.
Nicholas,
tafadhali sana watch your language. jaribu kusoma vitu unavyoandika kabla hujabonyeza reply. wananchi wa pwani shughuli yao kubwa ni uvuvi. sasa kabla ya kuwaita wavivu, unajua ndugu zetu hawa wanadamka saa ngapi kwenda baharini kuvua? je, unajua shuruba wanazokabiliana nazo siku hadi siku?
halafu unapoleta hoja ya wanawake wa pwani na kupasuka miguu, hivi unajua unachokiongea wewe? halafu umejivika kilemba cha kuzungumza kwa niaba ya wachaga huku ukiwakosea wengine adabu. sasa unataka kusema wanawake wa kabila lako hawapasuki miguu, au hawana kasoro yoyote ile?
thread hii ilikuwa na lengo na kuwa uwanja wa kufundishana. nashangaa sana wewe ni mchangiaji pekee hapa unayetoa kashfa kwa watanzania wenzako. WE NEED SOME TOUGH LOVE, LAKINI SIYO DHARAU, NA KEJELI.
Sasa hakuna kabila lilobaki nyuma kwa maendeleo na kusoma. Ngoja nawaulize wachaga ambao mnajisifia sana kwenye huu uzi kwa nini sasa mnabaguana na kudharauliana, Mkibosho anamuona Mkishimundu mjinga, Mrombo anamuona Mmachame mshenzi.