MBEYA mjini wana matatizo gani

MBEYA mjini wana matatizo gani

Mtoa mada hebu elezea zaidi tufahamu maana chongo kwa mnyamwezi kwa mswahili amri ya mungu.kwa kuwa umegusa kidonda hebu elezea yaliyosemwa na mbunge sugu kwenye selection ya wanafunzi kwenda kidato cha kwanza kama ulikuwepo.
 
Hivi mbunge kama huyu anaweza kweli kuwakilisha wasomi , maprofesa na wafanyabiashara wa mji wa mbeya. Ataongea nini? Ana upeo gani? Ana elimu gani? Hajawahi kuwa hata monita wa darasa au mjumbe wa nyumba 10

Mkuu, unajikinga mvua kwenye pango halafu unajisaidia haja kubwa kabla mvua haijaisha? Si yatakunukia mwenyewe? Si bora hao wa mbeya wamemchagua sugu? Wa makambako waliemchagua jah people aliyeishia std one utawaitaje? Au hao hawaguswi coz wamemchagua mwana magamba?
 
Hapo umenena kwa sababu wa makambako ni mwanamagamba ndio maana hajamsema kamwona mwanamagwanda tu mkuu.
 
Katika karne hii ya sayansi na teknologia mnawezaje kumchagua muimba bongo fleva asiye na elimu kuwakilisha mji kama wa Mbeya ........ Ni kweli hamuipendi ccm lakini si kumchagua Mr 2. Sasa amebakia kugombea wanawake na akina jaffer rhyme. KWELI TZ KUNA MAAJABU

Isikupe taabu mkuu, uchaguzi mwingine tutajifunza kuchagua MCHAWI kama Maji marefu, tutajifunza toka kwenu
 
Back
Top Bottom