figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Apatikane jamani!!!
Mkuu chanzo cha habari??
Kama ni kweli, Mdude, Mo, Roma Mkatoliki waandae siku moja kwa pamoja watuambie ni wapi walipopelekwa baada ya kutekwa.
Labda una maana chanzo cha tetesi!
Aibu ya serikali ya awamu ya 5