figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,491
- 54,884
Heshima kwenu wakuu,
Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana. Hawezi kutembea wala kujipandisha kwenye bajaji. Utaratibu wa kupelekwa Hospitali apewe huduma ya kwanza unafanyika.
Mdude amepatikana katika Jimbo la Mbeya Vijijini kata ya Inyara Kijiji cha Makwenje kitongoji cha Mwasho.
Taarifa hizi za awali zimethibitishwa na Diwani wa CHADEMA mkoani humo, Kissman Mwangomale.
Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019, Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA, Mpaluka Said Nyagali (Mdude Chadema) alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu ambao hawakutambulika wenye Silaha za moto, akiwa ofisini kwake, eneo la Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe, katika tukio lenye dalili za utekaji.
Zaidi, soma;
Stay tuned

John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)
Mbunge wa Kibamba kupitia CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter amesema kuwa Chadema Mdude amechukuliwa na Watu wenye silaha Aidha, yeye mwenyewe amesema CHADEMA inafuatiloa suala hilo na taarifa zaidi itatolewa muda si mrefu ====== CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
www.jamiiforums.com
Stay tuned