mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,395
- 2,337
Ulianza vizuri lkn ukaboa baada ya kumtaja Magufuli kama DictatorKijana Mzalendo na Mtetezi wa rasilimali za Taifa , shujaa Mdude Nyagali amegoma kutoa maelezo yoyote Kituo cha Polisi baada ya kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za Uhaini .
Mdude amewaambia Watukufu Polisi kwamba maelezo yake yote kuhusu Uhaini wake atayatoa Mahakamani .
Kwa Wale wageni wa JF na labda wale wenyeji wasahaulifu ni kwamba , hii si mara ya kwanza kwa Mdude kubambikwa kesi na Polisi wa Mbeya , wakati wa Dikteta Magufuli aliwahi kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za kusafirisha na kuingiza Madawa ya kulevya kisha kuyasambaza nchini Tanzania , wakati hakuwahi kutoka Nje ya Tanzania wala hakuwahi hata kuwa na Passport.
Hata hivyo Polisi pamoja na kumuwekea Madawa ya kulevya nyumbani kwake ili kunogesha move yao bado waliangukia Pua Mahakamani ,
Mdude aliishinda serikali ya ccm Mahakamani , hakuachiwa kwa Msamaha wa Samia kama wapotoshaji wengi wanavyodai .
View attachment 2716656