Mbeya: Mdude Nyagali akataa kuandika Maelezo Kituo cha Polisi, asema atayatoa Mahakamani

Nadhani sasa watu wataelewa Kuteka na Kusumbua wapinzani na watu wanaokosoa serikali sio suala la Mtu bali ni serikali nzima inayoongoza kwa wakati huoo..!! Bora hata magufuli alileta maendeleo tukayaonaa ilaa sasa ni hatariii watu wanataka kuuza mpaka bandari tusisemeee..
Uvuruge amani halafu,uchekewe.Hakuna nchi hiyo duniani.Wasekwe ndani tu.
 
Siku JPM aliposhindwa ku deal na Mdude kwasababu Mdude hapiganii siasa bali anachoamini nilijua huyu dogo atasumbua sana.
Umeandika ukweli ,mdude hapiganii siasa na ndio maana hapoi,na Wala humkuti akimsifia mbowe au Lisu ..Huyu ni muumini wa anachokiamini hivyo kumbadili inahitaji akili kubwa tena ukidili nae usimtumilie nguvu km wafanyavyo ccm.
 
Kijana Mzalendo na Mtetezi wa rasilimali za Taifa , shujaa Mdude Nyagali amegoma kutoa maelezo yoyote Kituo cha Polisi baada ya kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za Uhaini .

Mdude amewaambia Watukufu Polisi kwamba maelezo yake yote kuhusu Uhaini wake atayatoa Mahakamani .

Kwa Wale wageni wa JF na labda wale wenyeji wasahaulifu ni kwamba , hii si mara ya kwanza kwa Mdude kubambikwa kesi na Polisi wa Mbeya , wakati wa Dikteta Magufuli aliwahi kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za kusafirisha na kuingiza Madawa ya kulevya kisha kuyasambaza nchini Tanzania , wakati hakuwahi kutoka Nje ya Tanzania wala hakuwahi hata kuwa na Passport.

Hata hivyo Polisi pamoja na kumuwekea Madawa ya kulevya nyumbani kwake ili kunogesha move yao bado waliangukia Pua Mahakamani ,

Mdude aliishinda serikali ya ccm Mahakamani , hakuachiwa kwa Msamaha wa Samia kama wapotoshaji wengi wanavyodai .

View attachment 2716656
Kwahiyo Kabla hajamnyoa mama yetu kipenzi ananyolewa yeye kwanza
 
Halafu wakamchia au wako naye?
hii ni nafuu kwa polisi maana hawataulizwa lolote
1692004353569.png
 
the author warns President Sata against the wanton persecution of opposition political leaders as well as the intimidation of his own PF members.
Historia ya nchi jirani ya Zambia inaenda kujirudia kwa Chama kongwe dola CCM

11 August 2023
Mbeya, Tanzania

Viongozi wajuu wa chama tawala Tanzania walaani haki ya kutoa mawazo kwa njia za maandamano ya amani

🤣🤣🤣🤣
Mwenyewe nimeshangaa anaongea njni huyu!!!!
Huyo nyumbu kateswa na nani? Lini?!!! Hakuna aliyeamua kumtesa mpaka sasa; mnaambizana ujinga tu. Siku wakiamua kumtesa huyo hatosikika tena, tena watu namna hiyo unawatesa kisaikolojia tu kwisha habari yake........unamvisha gauni na kumpaka shedo, wanna, kipini, hereni n.k kisha unamtupia ndani waliko wafungwa wa maisha walioshindikana kwa masaa kadhaa tu. Akitoka huko ataamkia kila mtu, shenzy zake!!
Hili likukute wewe na jamaa zako Kwa Jina La Yesu Kristo Amen.
 
Hivi bado tu huoni nchi inaelekea kwenye kupona, au wewe unaangalia wapi mkuu?

Haya unayoyaona sasa ndiko kupona huko, jiandae tu karibuni nchi hii inakuwa huru kabisa.
Hakuna kupona hapo mkuu, kama watu wanatekwa tena kwa kufuatwa nyumbani, mtu yupo safarini unamkamata na kumfungulia kesi ya uhaini unasema nchi inapona!!!.

Kwani wakati ule haya hayakuwepo, why haikupona wkt na iwe sasa?. BADO SIAMINI.

Muda wa kupona haujafika mkuu, mtu wa kuponya nchi hajafika, bado yupo njiani.
 
Kijana Mzalendo na Mtetezi wa rasilimali za Taifa , shujaa Mdude Nyagali amegoma kutoa maelezo yoyote Kituo cha Polisi baada ya kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za Uhaini .

Mdude amewaambia Watukufu Polisi kwamba maelezo yake yote kuhusu Uhaini wake atayatoa Mahakamani .

Kwa Wale wageni wa JF na labda wale wenyeji wasahaulifu ni kwamba , hii si mara ya kwanza kwa Mdude kubambikwa kesi na Polisi wa Mbeya , wakati wa Dikteta Magufuli aliwahi kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za kusafirisha na kuingiza Madawa ya kulevya kisha kuyasambaza nchini Tanzania , wakati hakuwahi kutoka Nje ya Tanzania wala hakuwahi hata kuwa na Passport.

Hata hivyo Polisi pamoja na kumuwekea Madawa ya kulevya nyumbani kwake ili kunogesha move yao bado waliangukia Pua Mahakamani ,

Mdude aliishinda serikali ya ccm Mahakamani , hakuachiwa kwa Msamaha wa Samia kama wapotoshaji wengi wanavyodai .

View attachment 2716656
yaani mdude anajitakjiaga matatizo mwenmyewe mtu hata sheria hajui anajifananisha na watu wanaojuwa sheria anayeteseka ni yeye nyie mkekaa nyuma ya keyboard mnampa moyo tanzania badoi haijaweza kuwa na watu kama hao wanaotetea ujinga kama mdude endeleeni kumsifia mwenzenu anatyeseka huko
 
Niyaonapo yote haya navuta picha wakati ule Mzee baba JPM kafariki watu walivyokuwa wanashangilia, kuchinja na kusema sasa haueni inakuja sababu kasepa zake.

Nilisimama na naendelea kusimamia kauli ya usishangilie wakati hujavuka mto, haya leo yako wapi na zile shangwe zenu, ooh bora kafa, ooh nchi imepona !.
Bado hatujapata kiongozi siyo Magufuli wala Samia wote hawafai
 
Back
Top Bottom