dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,486
Foleni kubwa barabara kuu ya mlima nyoka (Mbeya), sababu ikiwa ni kamati ya ulinzi na usalama mkoa Mbeya ilikuwa kufanya MATAMBIKO na MACHIFU ili kuepisha ajali.
Je, hii ndo njia sahihi ya kuzuia ajali?
Habari zaidi, soma=>Tatizo la ajali Mbeya haliwezi kumalizwa na Polisi pekee, washirikisheni Wazee
Je, hii ndo njia sahihi ya kuzuia ajali?
Habari zaidi, soma=>Tatizo la ajali Mbeya haliwezi kumalizwa na Polisi pekee, washirikisheni Wazee