Mbeya: Madaktari wagoma kudai mishahara yao

Mbeya: Madaktari wagoma kudai mishahara yao

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Madaktari mkoani Mbeya wamegoma wakishinikiza kulipwa mishahara yao.
Source TV1.
My take : Serikali fanyeni haraka mgomo usije ukahamia Dar es salaam watu wakafa kwa DENGUE FEVER.
 
Madaktari mkoani Mbeya wamegoma wakishinikiza kulipwa mishahara yao.
Source TV1.
My take : Serikali fanyeni haraka mgomo usije ukahamia Dar es salaam watu wakafa kwa DENGUE FEVER.

TV 1 ndo Kituo gani hapa Tanzania mleta mada

BACK TANGANYIKA
 
Bila shaka kwa mara nyingine tena serikali dhalimu ya CCM itakimbilia kuwadhibiti kwa kuwang'oa kucha na meno!
 
serikali hii ina hila sana,yote haya yanakuja kutuondoa mawazo yetu kwenye agenda za msingi zilizopo mezani na kutahamishia kwenye mada zingine,take care
 
Wang'olewe kucha hao

Tukiwambia ccm ni magaidi mnabishaga sasa naona mnajileta taribu, kumwagia watu tindi kali wakati wakidai haki zao, unasema wang'olewa kucha kwa kudai haki zao mpaka leo hawajalipwa mshahara,
Pumbafu kbs ww hp
 
Mlivyo wa ajabu badala msikitike mnafurahia. Hamjui mgomo unaweza kuwaathiri hata nyie!
 
Mlivyo wa ajabu badala msikitike mnafurahia. Hamjui mgomo unaweza kuwaathiri hata nyie!
Hivi wewe huwa unapata hata muda wa kuoga kweli? Au unanuka harufu ya msalani kama lilivyo jina lako? Maana naona unataka kufia kwenye mitandao mithili ya nzi anayefia kwenye kidonda kwa ajili ya kuitetea serikali dhalimu ya magamba.
 
Mlivyo wa ajabu badala msikitike mnafurahia. Hamjui mgomo unaweza kuwaathiri hata nyie!
Hakuna aliyefurahia labda umevurugwa na harufu ya MSALANI. Tunasikitika ndo maana tunatahadharisha mgomo huo usije ukahamia dar watu wakafa kwa dengue feverr. Pia ukae ukijua Mbeya ni watz na dar ni watz wote ni ndugu hakuna anayefurahia matatizo ya nduguye.
 
Hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania aliyohaidi kikwete kwa watanzania mwaka 2005!
 
Madaktari mkoani Mbeya wamegoma wakishinikiza kulipwa mishahara yao.
Source TV1.
My take : Serikali fanyeni haraka mgomo usije ukahamia Dar es salaam watu wakafa kwa DENGUE FEVER.

Leo trhe 14, kibongobongo tunaita tarehe Arobaini na nne
 
Hakuna aliyefurahia labda umevurugwa na harufu ya MSALANI. Tunasikitika ndo maana tunatahadharisha mgomo huo usije ukahamia dar watu wakafa kwa dengue feverr. Pia ukae ukijua Mbeya ni watz na dar ni watz wote ni ndugu hakuna anayefurahia matatizo ya nduguye.

Mnatahadharishaje, wakati mnashabikia? watu wa ajabu sana ninyi!
 
TV1 ni station ya tv ambayo ipo kwenye startimes mwanzo ilikuwa inaonekana viasat1, na pia taarifa hii imeonekana ITV habari.

Nahisi muuliza swali alifikiri kituo hicho hakipo! Jibu ni hilo kama ulivyofafanua!
 
Mnatahadharishaje, wakati mnashabikia? watu wa ajabu sana ninyi!
na huyu anaye tumikisha watu bila kuwalipa si wa ajabu tu bali ni mdhulumaji pia!. Ni kalenda ya selikali yenye miezi ya siku 48 na zaidi
 
Back
Top Bottom