Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Msomi ni Nani? Majimbo mawili ya mkoa wa mbeya yalikuwa yanaongozwa na wabunge wasomi yaani maprofesa! Hebu tutajie maendeleo yaliyopo Jimbo la rungwe na kyela!
 
Msomi ni Nani? Majimbo mawili ya mkoa wa mbeya yalikuwa yanaongozwa na wabunge wasomi yaani maprofesa! Hebu tutajie maendeleo yaliyopo Jimbo la rungwe na kyela!

..Kyela ccm wameshindwana na msomi.
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
singida, mbeya kote kumekosa maendeleo mda mrefu sana , sasa mda umefika
 
Hata sisi wanachama tunamshangaa mwenzetu huyu. Bora nimpigie kura Dr. TA (PhD)
Huyo Tulia atakuletea chakula mezani kwako?Sisi wengine tunasema CCM miaka zaidi ya 60 bado wananchi ni masikini,bora tuchague chama kingine kiendeleze pale CCM ilipoishia!
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Ila elimu sio kua kiongozi mzuri tz kwa Sasa inataitaji mbunge au wabunge wa kuisimamia serikali,ili selikari iliyoko madarakani itekeleze wajibu wake kwa wananchi, mfano yupo msukuma pamoja na Mambo mengine ila bungeni pa kusifia au kuponda hufanya na anafanya vizuri bungen kuliko wenye degree zao, yupo kishimba Yule elim yake ya kawaida ila anatoaga nathalia za kufikirisha Sana that's anaitwa professor,
Mbunge sio lazima elimu Bali uwezo wake wa kujenga hoja katika kuwawakilisha wananchi wake kwa selikari ili itimize wajibu wake,
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Wewe na Usomi wako umelifanyia nini taifa lako zaidi ya kulipwa buku 7 kuja kumchafua sugu?
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Kukosa kwako elimu ya uraia ndo kunakufanya uwe na akili mgando kiasi hicho.

Hujui kazi ya mbunge ni nini na pia hujajihangaisha kufanya utafiti mdogo tu wa kujua majimbo yanayoongozwa na ccm yana maendeleo kiasi gani mpaka uone kama Sugu ndio amemwamish maendeleo ya Mbeya.
 
Tatizo Betina mweusi tiiii kama chungu cha bibi..mgombea yule hapendi wanawake weusi...
 
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
huyo Tulia kafanya nini hapo Bungeni km Naibu hata alipokuwa Bandari
katika Wanawake hahesabiki labda Anne Makinda na Halima Mdee wakitetea mtu na wala sio wanawake tu
nipe za Tulia km sio kuandika paper ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom