Tangu mwaka 1995 mpaka 2010 mlikuwa na wabunge CCM mlipata maendeleo yapi ukitofautisha na sasa?
Je, wewe ni miongoni mwa mnufaika wa T - Foundation hapo Mbeya nini?
Brother ukipewa hela chukua hiyo ni yako. Kumbuka kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali na kutunga sheria. Rejea tozo za maiti katika hospitali na case study ya dogo hapo mbeya namna mbunge wako alivyoisimamia serikali na imeleta impact nchi nzima.