MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Ndugai anachapa bakora wanaume wenzake wa ccm mpaka wanazimia, usicheze na ndugai wewe ni hatari kupita Tysonhivi ndugai anachapa sana bakora etii hahahaha

HII NDIO ILIKUWA MBEYA BWANA
1. Enzi hizo alikuwepo mtu anaitwa Jombi, kudhihirisha ubabe kwa wenzako lazima uwaambie Mimi ni "Jombi"
2. Kulikuwa na basi zinaitwa Kiswele..engine nyuma, Dar - Mby faster, Mafegi hii ilikuwa na vijihoni vya Ukweli,usisahau Mv Saratoga, Tunyande bus service, Zainabus
3. Kulikuwa na wavuta petroli, hawa jamaa walikuwa km 5 hivi, wachafu wanatembea pamoja mitaa ya BP uhindini wakiwa na makopo na vitambaa vilivyoloa petrol wanavuta.
4. kiwanja ngoma, hapa Soka lilipigwa bwana, timu yangu ya Mtaa Snow White chini ya Key, kina Baba Jeni. Basket ball ilikuwa pale Centre, tulikuwa na chama letu Mbeya Flames.
5. Town pale palikuwa na vichaa hatari kuna "Tiotio" huyu alikuwa anachapa ngeli balaa, Merry Kichaa alikuwa na alergy na watu weupe, akikuotea atakukimbizaa na stick utakula. Pale Mbeya Recto ndio ilikuwa km Makao makuu ya vichaa walikuwa kibao
5.Pale Bomani palikuwa na Mzee mmoja mfupi nakumbuka jina moja la Mwakifuna,nilifanya jitihada ili kumuona tu maana kutokumjua na kumuona ilikuwa ni weakness kubwa.
6. Kipindi hicho Disco lilikuwa Mount Livingstone na Rift valley, Soggy doggy enzi hizo akiitwa Wasape na Sugu- 2 Proud, hipop ilinoga bwana.
7. Mtakumbuka Mbeya tulikuwa na ukumbi Wa Sinema pale opposite na Ofisi za Posta Town, Muvy ya Hatya ilifunika sana enzi zile.
8. Miaka ile bwana mvua ilikuwa inapiga km gharika,sometimes ilikuwa inamwagwa barafu km ulaya,mlima Loleza ulikuwa ukifunikwa theluji kwa siku kadhaa. Radi sasa, hatariii mpaka nyumba ina Shake.
9. Siku ya Jumamosi ilikuwa ya kuosha mbwa,mbwa wote walikuwa wanapelekwa josho pale Mifugo,nyuma ya Kanisa la Roman,mkishamaliza kuogesha mnaanza kugombanisha Mbwa,mbwa Wa kizungu walikuwa wanaogopwa kupambanishwa na Wa kienyeji ikiaminika wananguvu balaa.
10. Uzunguni enzi hizo kulikuwa na matunda ya aina mbalimbali,watoto walikuwa wanatoka maeneo kadhaa ikiwemo Isanga kuja kuchuma maparachichi,mang'ang'a,mafyulizi,mapohora,mapera nk.
11. Mwanjelwa.enzi hizo iliitwa Doksi au Njelii, mitumba viwango,raba Kali,msela ukitupia vya doksi umemaliza.
12.Enzi zile ukisoma Sisimba na Azimio unafunika,Shule ya International ilikuwa Umoja primary school, waliosoma hapo hata kupishana nao unaogopa
13. Kuruka ukuta Wa Uwanja Wa Sokoine au kuingia uwanjani kupitia Bomba la maji ya mvua wakati Wa mechi ilikuwa ujanja balaa.
14. Ukisikia Shule za Sekondari Iyunga, Sangu, Loleza, Mbeya Day zilikuwa na kila aina ya sifa.Sangu kulikuwa na vichwa lazima uvitambue wababe km Simply na Kambosonic waliogopwa.
15. UMISETA sasa, dah, achaa..hapa Lutengano hapa Mwakaleli, boli lilitandazwa,kikinuka uwanjani ilikuwa km vita,makwanja na fimbo hujui vilipotokea,ukizubaa utakula mkono balaa
16. Kuna mdada walikuwa hatari alikuwa anatembeza kichapo kwa wanaume balaa walikuwa anatokea ilemi alifahamika kwa jina la Jeni.
17 Kuna jamaa alikuwa mtata sana mtaa Wa mafiati, makunguru, juakali alifahamika kwa jina la Daudi Masoke. Walikuwa balaa alikuwa anaiba Nyumba nzima hadi kitanda ulicholalia.
18. Ukisia mtaani Dunda, Kwendi, Shaban wanatembea mtaani wanaume wote kimya walikuwa hawaoni shida kukupiga dispiss ya tumbo. Wakitaka kupora walikuwa hawapati shida wanakuzunguka baada ya muda unaporwa ukipiga kelele hakuna Wa kukusaidia maana hadi wazazi wao walikuwa wanawaogopa.
19. Ukisikia obamka yaani ilikuwa full kwa watoto Wa mafiati, sinde, ilemi, isanga, ilolo ni sehemu ya kuchomea viazi mtoto walikuwa radhi asile nyumbani aende njelii kuokota viazi ili akachome obamka.
20. Uswahili tabu fresh food iligeuzwa jina na kuitwa Chakula barafu kiss vyakula vinahifadhiwa kwenye friiza. Expire date ya chakula hasa maziwa ilikuwa furaha kwa watoto Wa uswahili. Zaidi panaitwa city pub/century plaza.
21. Doxi waliwauzia wanyia blauzi na kuwaambia mashati. Ndio kisasi kikarudishwa unyiani na kuwaambia wamachinga Wa nguo Tumugoge tumuleshe...(tumuue tumuache).
NAIKUMBUKA MBEYA YA ZAMANI..
Prison alikuwa Na miguu mmoja mfupi kidogo, ana shabaha sana ya mawe.NAMBA 13. Ndiyo inathibitisha Mbeya unayozungumzia sio ya ZAMANI!! ,Zamani SOKOINE STADIUM uliitwa MAPINDUZI STADIUM na bado zamani MAPINDUZI haukuwepo pale kulikuwa na miti, pembeni kulikuwa na uwanja mdogo mzuri sisi watoto wa wakati huo tukicheza chandimu. Vichaa alikuwepo PRISON aka UGUMBA HUYO BALAA ! Alikuwepo ALOYCE kazi yake kuimba hana ugomvi na mtu, alikuwepo KANJINGALA anatembea akigonga chuma huku akicheza na kunengua kiuno !!! wengine kina Mwakityaka, Marry nk. lakini Bujibuji usijali inawezekana zamani hiyo unayoizungumzia inalingana na kipindi ulicho kuwepo !! AMANI IWE NASI !
Sahihi Bujibuji tuendelee kukumbushana naamini mungu akijalia tilukijaona onana WOTE tutasema aaah kumbe wewe!!!Prison alikuwa Na miguu mmoja mfupi kidogo, ana shabaha sana ya mawe.
Uwanja wa mapinduzi ulijengwa na Kila mtu hata wafungwa walishiriki ujenzi.
Kabla hapajawa na uwanja, palikuwa na uwanja wa golf wa Mbeya Club.
Tatizo ni kwamba history was not written, tuendelelee kuandika historia kwa ajili ya kizazi kijacho
Tukija onana typing error!Sahihi Bujibuji tuendelee kukumbushana naamini mungu akijalia tilukijaona onana WOTE tutasema aaah kumbe wewe!!!
Huyu bwana, kama ninakumbuka vizuri, alikuwa na ulemavu mkono mmoja.alikuwepo KANJINGALA anatembea akigonga chuma huku akicheza na kunengua kiuno !!!
Kweli kabisa ndie yeye KANJINGALA !!Huyu bwana, kama ninakumbuka vizuri, alikuwa na ulemavu mkono mmoja.
Aiiiiii mamaaaaa nakufaaaaaa, Piere Liquid atapaki kuwa juuKullikuwa na Mama Mmoja Kichaa pale Sokoni wahuni walikuwa wanamdandia Usiku akitoka matembezini...Kuna siku moja Usiku wa kama saa nne hivi nilimkuta Njemba moja limemkunja huyu Mama wa watu pale karibu na Uwanja wa Sokoine nyuma kidogo ya Shule ya sisimba!!!Mama wa watu alukuwa katulia tu...
ATAPAKI!!!!?Aiiiiii mamaaaaa nakufaaaaaa, Piere Liquid atapaki kuwa juu
Daa!! Nonde bwana- machinjioni. Ajira ya vijana wengi. Nyama choma kwa matoki kwa wingiii!! Daaa!!! Mimi kwangu miaka ya 1973 na kuendelea. Nimesoma Mbeya day. Kimpumu original, ubwala bwa misi, Majengo bwana na Ghana!! Acha tu.Kweli umekaa mby .....watoto wa malakasuka na bebby shangazi walisumbua sana .....pia kulikuwa na mtemi mmoja anatokea Isanga akiitwa brigadia mwakayugu .....by the way uwanja ngoma nimecheza soka nikichezea timu ya forest .....mambo yalikuwa mswano kipindi hicho
Teke la kuku nyumba chini!!!!!?Siyo maneno yangu ni maneno wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Daniel Ole Njoolay
Hivi majengo ya MECCO Mbeya bado yanatumika?Forest nje ya fensi ya mecco amekula sana ugali home
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Unawajua kina Rrobo? Walisoma Muungano PSMimi nilikuwa karibu na Mzee Mwakalinga pale!!
Nawajua.Unawajua kina Rrobo? Walisoma Muungano PS
Umesahau Mabati kiwanda cha miwa na vitindi , Kilabu cha Mwakyela pale Nonde , Kilabu cha Maendeleo kule Ghana juu , Kwa Mwalalika mashine maarufu ya kukoboa mpunga , Mtemi Mwasimba bangi zikipanda anaenda milima ya Nonde kupandisha Bendera yake alafu ikifika saa sita usiku anaenda kuishusha , Mbeya kuna makaburi maarufu ya Sabasaba na Nonde , Pombe maarufu ni Chimpumu ukinywa leo yakibaki machicha kesha unachemsha maji alafu unamimina mziki unaendelea kwa kutumia mlija unaitwa mkenge , Kilabu Maarufu kutoka kwa mkoloni kilitwa REGCO pembeni kulikua na soko Maarufu liliitwa Soko la Majengo , ukicha shule ya Sisimba na Azimia huku Majengo kulikuwa na shule ya Majengo na ghana kuna shule ya Mbata , matunda ya mbeya masasati , mbulu , numbu , katapela , mang'ang'a, fyulisi , ..... vitongoji maarufu ni Nonde , ghana , majengo , Uhindini , Kwa Mama John, Mwanjelwa a.k.a Njelii , vilio msibani si mchezo .....HII NDIO ILIKUWA MBEYA BWANA