Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
- Thread starter
-
- #601
Hakuingizwa kwenye maajabu ya soka kwenye record za Fifa?Kwenye timu yake ukiwa namba saba hupat namba maana hyo namba ilikuwa yake akichoka alikuwa anaingia shemeji yake alikuwa anaitwa mawazo.ukitokea penart yupo nje bas anaomba kuingia ili akapige yeye uwanja wa magereza ilikuwa vituko
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Ndiokwa wale msiomfahamu huyu ndiye dereva mkongwe wa mabasi Giriki
hapana ilirudi kutoka canada na siku anatua jioni akafia dar es salaamSio Canada kama Amir Jamal?
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
kaacha mtoto wa kiume aitwa ali, ndiye anasimamiaDuh! May he rest in peace! Hivi bado alikuwa anasimamia mwenyewe?
Nakumbuka, zile ngozi ngozi, walikuwa wanaita MAKANDA (kama sikosei)Sana! Machinjioni palitusitiri sana kipato cha chini ukienda na pesa yako kiduchu hukosi kamnofu
Mwaka 1999/y2k nilifanya nae kazi kampuni ya TIOT Tabata boss akiwa Sahau Kambi chini ya Meleh Barabou.Jamaa ni mpole sana huyu.kwa wale msiomfahamu huyu ndiye dereva mkongwe wa mabasi Giriki
Anavuta bangi?Mwaka 1999/y2k nilifanya nae kazi kampuni ya TIOT Tabata boss akiwa Sahau Kambi chini ya Meleh Barabou.Jamaa ni mpole sana huyu.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Huyu nae ni mhengaNdio
Ni kweli, wengi utawakuta Ubungo terminal,Oilcom petrol station Ubungo na makazi yao wakati fulani yalikuwa chini ya daraja pale Ubungo Mandela roadMasela was mbeya inasemekana ! wamevamia Ubongo?
Kipindi cha karibuni wameanza kuimarika kiasi kwenye biashara ndogo ndogo na wengine kwenye ujuzi mbalimbali ila kwa kipindi chote sijawahi kuwaona kwenye madawa au unyanganyi stand.Masela was mbeya inasemekana ! wamevamia Ubongo?
Kipindi cha karibuni wameanza kuimarika kiasi kwenye biashara ndogo ndogo na wengine kwenye ujuzi mbalimbali ila kwa kipindi chote sijawahi kuwaona kwenye madawa au unyanganyi stand.
Na kwale braza umesahau. Forest ama maforestiniwenzake wanazungumzia enzi za mizunguko. enzi za kudaka ndege kuku forest.enzi gari za dar Dar zinaingia Mbeya saa 9 mchana. eti siku hizi saa 3 usiku!
Hv ww sio Nyanzobe kweli?Kazi ya Adili Mkwela Chapakazi
Nyanzobe nimesoma nae pr & Sec.Hv ww sio Nyanzobe kweli?
Leni na Niki Makaya unawafahamu?
Kwenye timu yake ukiwa namba saba hupat namba maana hyo namba ilikuwa yake akichoka alikuwa anaingia shemeji yake alikuwa anaitwa mawazo.ukitokea penart yupo nje bas anaomba kuingia ili akapige yeye uwanja wa magereza ilikuwa vituko
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Mikambokambo ya mbeya hotel ikavunjika. Kulikuwa na babu mmoja ameweka hadi kiti juuu kabisa ya mti