Michael Simwaba alikuwa ana kiingereza kizuri kuliko mwalimu yeyote yule Mbeya. Fimbo zake zilikuwa kali sana hasa akikuchapa na mfyulisi. Simwaba kwao ni Majengo.
Mnzava alikuwa na binti yake akiitwa Penieli na walikuwa wakikaa kwenye vikota vya Meta shuleni.
Mnzava alikuwa mwalimu mzuri sana wa chemistry.
Unoko wake ulimfanya awe maarufu Mby nzima