Mbeya Kuna Mambo: Hebu Cheki Majina wanayopewa Watoto wa Kisafwa

ningwekimbia
 
Wasafwa wa leo huwapa watoto wao majina kutokana na vitu vingi . Mfano baba ni mpenzi wa soka na anampenda Ronaldo au mess basi akipata mtoto humwita Ronaldo . Pia kuna majina kutokana na matukio mfano mtu akiitwa Nzala ujue alizaliwa kipindi cha njaa , akiitwa mbwiga alikua kwa madawa , akiitwa mbozyo ni wa kike aliekulia madawa . Pia kuna wengine huitwa Awilo sababu ya mziki na wengine huitwa Lampard n.k . Ila jua kuwa sisi wasafwa bado tunadumisha majina ya asili .
 
T Teeeeeeee ni kawaida sana hayo majina maana ni ya asili toka kwa wasafwa na wanyakyusa
 
A Amezungumzia WASAFWA mkuu
 
Mwagonaaa mwagonaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…