fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
ningwekimbiaHii inanikumbusha utani niliotumiwa kwenye simu yangu ya mkononi; ambao na unukuu "Umeipata ya Mbeya ya watu Sensa kutoka Dar walivyopata tabu Mbeya? Kwenye familia moja,
Jina lako mtu wa kwanza Mzee: Naitwa Ambanile Mwakipumbu,
Mama naitwa Amfugile Mwakivuzi,
Watoto:
1. Antombile Mwakikuma,
2. Amfilile Mwakikundu
3. Anyonyile Mwakisimi.
Ingekuwa wewe ungefanyaje?